For medical students!

ok nimepata PM`s na kumjibu moja moja inakuwa tabu kidogo maswali yenu ni common!

1) Kufanya Residency US .. kwanza lazima upitie mitihani ya aina 3 ...

USMLE step 1 - step 3

1 ) Step 1 assesses whether you understand and can apply important concepts of the sciences basic to the practice of medicine, with special emphasis on principles and mechanisms underlying health, disease, and modes of therapy. Step 1 ensures mastery of not only the sciences that provide a foundation for the safe and competent practice of medicine in the present, but also the scientific principles required for maintenance of competence through lifelong learning. Step 1 is constructed according to an integrated content outline that organizes basic science material along two dimensions: system and process.

mwanafunzi wa mwaka wa 3 anaweza akakaa for step 1 .. lakini once you passes step 1 huruhusiwi kufanya tena . so ni vema ukienda for step 1 uwe na uhakika utapata marks za juu zaidi.

All USMLE scores zake zina expire baada ya 7 years!!

kwa hiyo mwanafunzi aliye mwaka 1 - 3 namshauri ajitayarishe for step 1 ni vizuri ukafanya mapema huu mtihani

Step 2 assesses whether you can apply medical knowledge, skills, and understanding of clinical science essential for the provision of patient care under supervision and includes emphasis on health promotion and disease prevention. Step 2 ensures that due attention is devoted to principles of clinical sciences and basic patient-centered skills that provide the foundation for the safe and competent practice of medicine.

step imegawanyika mara mbili -

a ) Step 2 CK which is constructed according to an integrated content outline that organizes clinical science material along two dimensions: physician task and disease category.

b) Step 2 CS uses standardized patients, i.e., people trained to portray real patients. The cases cover common and important situations that a physician is likely to encounter in clinics, doctors' offices, emergency departments, and hospital settings in the United States.

ukifanikiwa ku pass step 2 unaweza uka apply for residency .. mara nyingi step 3 inafanywa wakati wa residency

kupata residency unayoipenda inategemea na scores zako za USMLE STEP 1 & 2 ...

How to applay for residency - easy once you have passed USMLE they will let you know

maswali ya nyongeza niliyopata ni kama ifuatavyo

1. Does USA country accept international physicians for specialization in its hospitals?:
Yes

2. Specialties offered (name duration)::

Please refer to the Fellowship and Residency Electronic Interactive Database(FREIDA)American Medical Association - Physicians, Medical Students & Patients (AMA) for the most up-to-date information on specialties offered in the USA.

3. Are there examinations during the residency? How are the residents' evaluated?:

Knowledge based and practical examinations may be administered within an individual residency program. These examinations are developed locally by each program and it is also up to the program how much weight is placed on these examinations, i.e., whether passing the examinations is required for progression from year to year or graduation from the program.
Most programs also require their residents to take "In-Service" examinations that are developed and administered by the medical or surgical specialty board that would ultimately offer certification to the resident in their particular specialty. These examinations are primarily for self-assessment and are generally not used as requirements for progression for graduation.
One other examination is frequently taken during residency, although for residents entering the US on an H1B (work permit) visa, it must be taken and passed before beginning residency. This is the USMLE Step 3. It is one of the examinations required for licensure and is not specialty specific. In some states, it is required to obtain a license sometime during the residency, and Step 3 is the last of licensing exams. In other states, it is required to have a license in order to continue beyond a certain point in the residency. Please refer to the USMLE Step 3 website for more information:
During residency, residents are evaluated by direct observation by faculty, and residency programs are required to provide this information directly to the residents periodically. Satisfactory performance based on these observations is generally required for progression and graduation.

4. How many hours of work per week are there?:

The current cap on resident hours is 80 hours per week.

5. Is there a tuition fee for the residency? If so, how much (in euro or usd)?:

No, there is no tuition fee for residency, but there is a fee to apply for residency programs.

6. What is the annual salary (in euro or u.s.d)?:

Residents receive stipends ranging from US$35,000 to US$50,000 for the first year of training and these increase with each additional year of training. Residents also have comprehensive benefit programs including health-insurance and paid annual vacations and often are provided free or discounted meals and uniforms. Sleeping quarters are provided when residents are on call in the hospital overnight.

7. Does everyone who passes the medical license examinations gain a residency position in a hospital?:

The vast majority of PME positions are obtained through participation in a National Residency Matching Program (NRMP). Applicants typically interview at several programs and subsequently submit a rank order list of programs in which they would like to pursue training. Simultaneously, program directors also submit a rank order list of applicants that they would like to have in their program. A computer program then matches applicants to programs. The result is that applicants are matched to programs as high as possible on their rank order list while programs fill their positions with the applicants that they most preferred. A detailed explanation of the NRMP can be found on line at www.nrmp.org. A small number of programs or positions may be offered "outside the Match" in which case there are direct negotiations between the applicants and the program director.

through my expirience sijawahi kuona mtu aliyepass akakosa residency !!! usmle score maters hakuna ufisadi




For more References Tembelea

www.ecfmg.org
www.faimer.org
www.usmle.org
www.fsmb.org
www.nrmp.org

How to applay for USMLE

1) Ni process ndefu kidogo hata kama hutofanya huu mtihani karibuni nakushauri anza mapema kutengeneza USMLE number ni free ... fungua hii link https://secure2.ecfmg.org/usmleidrequest/usmleidrequestnavigator.aspx fuata maelekezo kwa umakini infos unazoingiza huwezi kubadili tena maishani ...

Ukikamalisha baada ya 24- 72 hours watakutumia USMLE number pamoja na temporary password wanachukuwa muda mrefu ili kuhakikisha infos zako ...

Jinsi ya kujitayarisha na USMLE ....
1) USMLE 1ST AID IS THE REAL DEAL !! PAMOJA NA KAPLANS USMLE LECTURE SERIES zipo on-line unaweza ukazidownload ni vizuri ukadownload latest lectures zipo katika HD version!!
DOWN LOAD LINK Download 2010 Kaplan CenterPrep USMLE Step 1 Lecture Videos Torrent - KickassTorrents

Kuna lectures za Dr. goljan ni nzuri nazo

Download Goljan Torrents - KickassTorrents

nina materials nyingi sana za step 1 but nyingi zinapatikana free on-line!

P.S usmle first AID ni kitabu muhimu sana! vicheki amazon hapa Amazon.com: USMLE 1st aid
 
Kuna mmoja aliniuliza kuhusu Denmark!

Denmark ni pazuri .. ila tatizo moja language! danish! ila process ni kama ifuatavyo-

If an individual assessment is being made then you may be required to submit additional information, such as information of the clinical and theoretical hours for each subject, before a decision is made on whether you have an acceptable primary medical qualification.
Please note thatif your basic medical education is completed more than 6 years prior to the application date, it is considered obsolete unless it is documented that you in the past 6 years preceding the application date has worked as a medical doctor for at least 12 months.

kuzituma wapi reffer kwenye hii website Sundhedsstyrelsen kama huelewi ki danish kuna ka option cha english!! fuata maelekezo

Step 1
After the National Board of Health has approved your foreign medical qualifications you must first of all pass a Danish language test: Danish 3 Examination (Prøve i Dansk 3). The exam consists of a written and an oral part. The written exam is made up of a reading comprehension test and a written test and the oral exam consists of a test of oral communication combined with listening comprehension. You must pass the test in oral communication with the grade 10. The written test and the test in reading comprehension must both be passed with the grade 7.

You must pay the test fee yourself. If you have received a Danish civil registration number (cpr.nummer.), you may contact your caseworker at the local council (kommune) to hear whether the council might pay for the Danish course as well as the test. You are not required to pass the exam if you have already passed it 12 months prior to the date when the National Board of Health approved you foreign qualifications. Likewise, you are not required to pass the exam if you have continuously stayed in Denmark in the period after you passed the exam or if you have e.g. completed a Danish upper secondary education (gymnasial uddannelse).


Step 2
Having passed Danish 3 Examination and forwarded documentation hereof to the Board, you may proceed to the written and oral medical test and the course in Danish health legislation. The tests are in Danish and are free of charge. You are given three attempts in each test and in the course in Danish health legislation.  

Written medical test
The written medical test is in Danish and takes place at the University of Copenhagen. The test lasts 4 hours and comprises questions related to internal medicine and surgery. The level of the test corresponds to the level that is required of Danish medical graduates. The test is evaluated as pass/fail.

Oral medical test
The oral medical test is in Danish and takes place at the University of Copenhagen. The test lasts two hours, during which you go through a number of stations, in which you are examined on a one-to-one basis with an impartial examiner and either real or simulated patients. You might be asked to demonstrate lifesaving skills in one station and explain and account for symptoms, diagnosis and treatment in another station. The test is evaluated as pass/fail.

You may register for the tests at the University of Copenhagen, Faculty of Health Sciences. The tests will most likely be held in the months of March and September. Please visit the website of the University of Copenhagen (only available in Danish) to learn more about the tests.

Course in Danish health legislation
The course in Danish health legislation is in Danish and is held by the National Board of Health. The course is of three days, each day including a small test. The course is held when a sufficient number of participants have registered for the course. The first course will be held in the autumn of 2011. When the course has been organized, you can find information about registration, content, etc., on this website.


Step 3
Once you have passed Danish 3 Examination, the written and oral medical tests and successfully completed the course in Danish health legislation, you may proceed with finding a position for adaptation and training purposes (evalueringsansættelse). You will be paid and work according to general employment conditions.

Non-specialist
Being a non-specialist doctor, you must apply for a position for adaptation and training purposes (evalueringsansættelse) in a department that trains Danish medical graduates (klinisk basisuddannelse). The period of employment is 12 months and includes compulsory courses. In the process of the employment, the department will evaluate your clinical and communicative skills. The department is thus obliged to sending reports to the National Board of Health after 1, 3 and 12 months.

Having been offered the position, you must apply the National Board of Health for an "evalueringsautorisation" (authorization for adaptation and clinical training purposes). The authorization is issued for 12 months to be used in connection with the position (evalueringsansættelse).

You cannot commence work before having been issued with an "evalueringsautorisation".

Specialist
Being a specialist doctor in a speciality that currently exists in Denmark, you must apply for a position for adaptation and training purposes (evalueringsansættelse) in a department that trains Danish specialists within your specialty. If you are a specialist in general medicine (family medicine), you must apply for a position with a general practitioner approved by the "Regionale Råd for Lægers Videreuddannelse" to have specialist trainees in general medical practise. The period of employment is 6 months and in this period the department or general practitioner will evaluate your clinical and communicative skills. The department or general practitioner will send reports regarding your basic clinical skills as well as your specialist skills to the National Board of Health after 1, 3 and 6 months.

Having been offered the position, you must apply the National Board of Health for an "evalueringsautorisation" (authorization for adaptation and clinical training purposes). The authorization is issued for 6 months to be used in connection with the position (evalueringsansættelse).

You cannot commence work before having been issued with an "evalueringsautorisation".

Certificate of good standing
When applying for "evalueringsautorisation" a new certificate of good standing and an updated curriculum vitae must be forwarded to the National Board of Health. If you have stayed in Denmark the entire period from the date of the letter in which your foreign medical qualifications were approved, the Board, however, will accept documentation which verifies this fact and you will thus not be required to have a certificate of good standing sent to the Board.

Negative assessment
If in the process of your employment the National Board of Health receives a negative assessment from your employer and the employer is convinced that you will not be able to improve your clinical and/or communicative skills, your employment is terminated. The National Board of Health will then consider the further process.

Successful completion of employment
Having successfully completed your 6 or 12 months employment you will automatically be awarded a Danish authorization. At the same time you may apply for a permission to work independently as a medical doctor. You must pay a fee for the permission.

Danish title as a specialist
After having received Danish permission to work independently as a medical doctor, you may apply one of the three "Regionale Råd for Lægers Videreuddannelse" for an assessment of your completed specialist training with a view to additional training in Denmark, if any. The evaluation that has already been made during your 6 months' employment will be included in the assessment. Having made an assessment, the "Regionale Råd for Lægers Videreuddannelse" will let you know which courses and additional training you must complete (if any) in order to be able to apply for registration as a specialist with the National Board of Health.

Residence and work permits
You may apply for Danish residence and work permits at the Danish Immigration Service (Udlændingeservice), Ryesgade 53, 2100 Copenhagen Ø, or if you live abroad at a Danish Embassy or Consulate. Residence and work permits must be obtained before you take up employment.

You can read more about the requirements in Bekendtgørelse (Order no.) nr. 1372 af 9. december 2010 om autorisation af læger, der er statsborger i og/eller uddannet i lande udenfor EU/EØS (only available in Danish, however). You find a link to the Bekendtgørelse (Order) in the box to the right.

2. Specialties offered (name duration)::

Anesthesiology 5

Cardiology 7-8

Dermatology 4

Family Practice 3.5

Hematology 6.5-7.5

Internal Medicine 5.5

Neurology 5.5

Neurological Surgery 6.5

Nuclear Medicine 5.5

Obstetrics and Gynecology 5.5

Ophthalmology 5

Orthopaedic Surgery 6

Otolaryngology 5

Pathology 5.5

Pediatrics 5

Plastic Surgery 7.25

Psychiatry 5.5

Radiology 5

Rheumatology 6.5-7.5

Surgery General 6.25

Thoracic Surgery 7.75

Urology 7.75

Vascular Surgery 7.25

Are there examinations during the residency? How are the residents' evaluated?:

Courses with evalutation. ("Not really exams I was told"). Each resident has a tutor that evaluates with personal conversations

How many hours of work per week are there?:

37.5

A. Is there a tuition fee for the residency? If so, how much (in euro or usd)?:

Approx 40.000 Euro (BEWARE of 60% taxes)

What is the annual salary (in euro or u.s.d)?:

8.000-11.000 EURO (min). (Taxes includes health insurance)
unalipwa kwa dakika mshahara unategemea na residency yako

references:

Call +45 8944 6666 and ask for "Apartment for Doctor's Education" (they will understand that!) and then ask for assistance for foreign medical student/young physician.

pia unaweza ukaangalia

National Board of Health, www.sst.dk,
Royal Danish Ministry of Foreign Affairs, Ministry of Foreign Affairs of Denmark
NBoH, www.sst.dk (can be viewed in English)
www.fayl.dk
 
on Addition nchi nyingi za Scandinavian & europe vinatumia (Abū ʿAlī al-Ḥusayn ibn ʿAbd Allāh ibn Sīnā " Doctors of the doctors" mtu muhimu sana huyu katika medical world ) maarufu kama Avicenna Directory .....

kama chuo chako hakipo listed then imekula kwako!.. jaribu kuwasiliana na uongozi wa chuo wajaribu ku update infos zao WHO


AVICENNA Directory Medicine – University of Copenhagen


maswali zaidi ni PM ntayajibu hadharani
 
mkuu unazijua pia na taratibu za UK,england kwa mfano?ziweke basi kwa faida ya wengi kama ulivyofanya kwa US na Denmark
 
mkuu unazijua pia na taratibu za UK,england kwa mfano?ziweke basi kwa faida ya wengi kama ulivyofanya kwa US na Denmark

UK you have to seat for PLAB 1 & 2 ... sina infos nyingi kuhusu hizi mitihani sababu .. hata ukipass probability ya kupata residency ni ndogo. na pia ubaya wa UK .. hawakuajiri pindi residency inapokwisha.

More info. about PLAB utazipata hapa

http://www.gmc-uk.org/doctors/plab.asp

PLAB, overseas doctors information: united kingdom plab links directory board free

2. Specialties offered (name duration)

Anesthesiology
Cardiology
Dermatology
Endocrinology
Family Practice
Gastroenterology
Geriatrics
Hematology
Internal Medicine
Microbiology
Neurology
Neurological Surgery
Nuclear Medicine
Obstetrics and Gynecology
Ophthalmology
Orthopaedic Surgery
Otolaryngology
Paliative Care
Pathology
Pediatrics
Pediatric Surgery
Plastic Surgery
Pneumology
Psychiatry
Radiology
Rheumatology
Sports Medicine
Surgery General
Thoracic Surgery
Toxicology
Urology
Vascular Surgery

pia Note - kuna mitihani during residency

Tution fee - 60,000 € per year

Salary - Around 150,000 € per year

1. Accreditation procedure:


First of all you have to spend 1 year as a Junior House Officer. During this time you are being paid by hospital. Most of the specialization don't have this first step(only Internal Medicine and Surgery) but start with a position as a Senior House Officer during 2-3 years. During this time you are responible for many things in the hospital and you have a person who is supervising you. After this you become in Registrar during 4-5 years more. After all you have a examination in the surgical specialities and an evaluation by the Joint Training Committe in the medical ones. If you pass it you can gain the Certificate of Completion of Specialist Training.


2. Other requirements:
You have to be written in the British medical Council as a Pre House Officer. Or you can do it with the Medical agencies that makes to you all the application procedure like:

Medical Quality Recruitment
4 Thameside Centre
Kew Bridge Road
Brentford TW8 0HB
Tel: 0044-81-560 8351
Fax: 0044-81-568 5920

PRN


Recruitment for Doctors
42 Theobalds Rd.
London WC1 8NW
Tel: 0044-71-83 13 456
Fax: 071-83162



BIBT (Berisford Blake Thomas Ltd.)
14 Buckingham Palace RD.
London S201 WO QP
Tel: 0044- 171-233 8999
Fax: 0044-171-233 8004 /05



Gregorys Medical Agency
2 Oxford Road
Manchester M 15 QA
Tel: 061- 228 1501


MLI (Medical Locums International)
72, Thorpe Road, Norvich, NR1 1BA
England, United Kingdom

EDACS-Healthcare Services PLC


The old surgery
49 Otley Street
Skipton BD23 1ET
UK
Tel: 0044-1756-703-000
Fax: 0044-1756-701-545

Other references:
General Medical Council (GMC)
178 Great Portland Street
London W1N 6JE
Tel: 0044-171-580 7642
Fax: 0044-915 3641



British Medical Association
B.M.A. House
Tavistock Square
London WC 1 H 9 IP
Tel: 00441-387 44 99


National Advice Centre for Postgraduate Medical Education (NACPME)
The British Council, Bridgewater House, 58 Whitworth Street, Manchester M1 6BB
Tel: +44 (0) 161 957 7218
Fax:+44 (0) 161 957 7029


Faculty of Occupational Medicine
Royal College of Physicians of the UK, St Andrew's Place, London NW1 4LE
Tel: +44 (0) 20 7 317 5890
Fax:+44 (0) 20 7 317 5899


Faculty of Public Health Medicine
Royal College of Physicians of the UK, St Andrew's Place, London NW1 4LB
Tel: +44 (0) 20 7 935 0243
Fax:+44 (0) 20 7 224 6973


Royal College of Anaesthetists
48-49 Russell Square, London WC1B 4JY
Tel: +44 (0) 20 7 813 1900
Fax:+44 (0) 20 7 813 1876


Royal College of General Practitioners
14 Prince's Gate, London SW7 1PU
Tel: +44 (0) 20 7 581 3232
Fax:+44 (0) 20 7 225 3047


Royal College of Obstetricians and Gynaecologists
27 Sussex Place, London NW1 4RG
Tel: +44 (0) 20 7 772 6200
Fax:+44 (0) 20 7 723 0575


Royal College of Opthalmologists
17 Cornwall Terrace, London NW1 4QW
Tel: +44 (0) 20 7 935 0702
Fax:+44 (0) 20 7 487 4674


Royal College of Pathologists
2 Carlton House Terrace, London SW1Y 5AF
Tel: +44 (0) 20 7 839 5580 (examinations), +44 (0) 20 7 930 5861 (enquiries)
Fax:+44 (0) 20 7 321 0523


Royal College of Paediatrics & Child Health
House No: 5, St Andrews' Medical Precinct, Regents Park, London NW1
Tel: +44 (0) 20 7 307 5600


Royal College of Psychiatrists
17 Belgrave Square, London SW1X 8PG
Tel: +44 (0) 171 235 2351
Fax:+44 (0) 171 245 1231

Royal College of Physicians and Surgeons (Glasgow)
234-242 St Vincent Street, Glasgow G2 5RJ
Tel: +44 (0) 141 221 6072
Fax:+44 (0) 141 221 1804


Royal College of Physicians of Edinburgh
9 Queen Street, Edinburgh EH2 1JQ
Tel: +44 (0) 131 225 7324
Fax:+44 (0) 131 220 3939


Royal College of Physicians of London
11 St Andrew's Place, London NW1 4LE
Tel: +44 (0) 20 7 935 1174
Fax:+44 (0) 20 7 486 4514 (examinations), +44 (0) 20 7 487 5218 (general)


Royal College of Radiologists
38 Portland Place, London W1N 4JQ
Tel: +44 (0) 20 7 636 4432
Fax:+44 (0) 20 7 323 3100


Royal College of Surgeons of Edinburgh
18 Nicolson Street, Edinburgh EH8 9DW
Tel: +44 (0) 131 527 1600
Fax:+44 (0) 131 557 6406


Royal College of Surgeons of England
35-43 Lincoln's Inn Fields, London WC2A 3PN
Tel: +44 (0) 20 7 405 3474
Fax:+44 (0) 20 7 831 9438


Specialist Training Authority of the Medical Royal Colleges
1 Wimpole Street, London W1M 8AE
Tel: +44 (0) 20 7 495 1928
Fax:+44 (0) 20 7 495 0763


Nitakushauri Go For USMLE , PLAB ni pata potea .. unless unataka kurudi home pindi ukimaliza .. ! ni very rare kwa UK kukuajiri baada ya kumaliza residency .

Na nilivyosikia residency ngumu kupata ni Surgery .

Good luck!


for more infos tembelea http://www.gmc-uk.org/doctors/plab.asp












 
Kuhusu vituo vya hii mitihani PLAB & USMLE .. wakati unafanya on-line registration utaandika locations yako! ... mimi nafahamu ya USMLE kwa east africa kituo ni NAIROBI .. bongo hakuna!...

Mitihani haifanywi kwa kuandika! .... inafanywa kwenye maabara maalum ya computer ...
 
Nimesikia hizo USMLE exams ni mbinde sana kuzi pass.Kuna madaktari wanasotea mpaka miaka 10 US na bado wanashindwa kufaulu.Na hata uki pass nafasi za residency ziko chache na priority ni kwa wazawa/wana jimbo husika kwanza.Na unafanya kazi masaa mengi sana,likizo ni kama wiki mbili tu kwa mwaka mzima.Hili unalizungumziaje?
Nilidhani labda UK ni rahisi zaidi kufanikiwa ku practice medicine kuliko US?Vipi Norway,niliwahi kusikia kule wanakupa ajira kwanza halafu lugha utajifunza taratibu within a year,unafahamu chochote?
 
Nimesikia hizo USMLE exams ni mbinde sana kuzi pass.Kuna madaktari wanasotea mpaka miaka 10 US na bado wanashindwa kufaulu.Na hata uki pass nafasi za residency ziko chache na priority ni kwa wazawa/wana jimbo husika kwanza.Na unafanya kazi masaa mengi sana,likizo ni kama wiki mbili tu kwa mwaka mzima.Hili unalizungumziaje?
hizo tetesi si za kweli ... mimi nafanya residency sasa... surgery katika field ya urology ...
Uzuri wa USA hakuna upendeleo kila kitu kipo wazi ... what maters ni ulivyo score USMLE step 1 & 2 na kama ukiwa na kaji experience kanaweza kukupa advantage ..
kuhusu masaa ni masaa 80 per week! ila yanapungua unapozidi kuwa senior !... logic ni kwamba unapokuwa mgeni you need more cases more exposure kuzuoea hayo mambo.

kumbuka wana kutreat as a student not a DOCTOR!!!

USMLE sio ngumu! but watu wansoma wrong materials! utakuta wengi ambao ni graduates toka nje US wanafeli mtihani wanajiamini kupita kiasi utakuta mtu anaidharau biochemistry ambayo alisoma 4 years ago! alafu anaenda ku seat for step 1 . lazima afeli. ukitaka kujua ukweli just buy this book USMLE 1st AID wameelezea vizuri utapasi vipi USMLE !
Nilidhani labda UK ni rahisi zaidi kufanikiwa ku practice medicine kuliko US?Vipi Norway,niliwahi kusikia kule wanakupa ajira kwanza halafu lugha utajifunza taratibu within a year,unafahamu chochote?

Uk sikushauri trsut me! mimi nimepitia pote huko nikaja kuishia kwenye USMLE about Norways yeh ninazo info subiri nipekue katika files zangu

kama upo bongo.. we fanya internship yako ya bongo same time soma right materials for USMLE STEP 1 & 2 Kafanye mtihani.... find residency while you are still working ... ukipata match! utaacha kazi bongo na kwenda DUNIANI.. you have nothing to loose!
 
For Norway

Accreditation procedure:

Contact the Norwegian office for medical licenses to apply for accreditation. See www.safh.no for more information. You will have to do language tests, and courses and tests in Norwegian jurisdiction. You will also have to do a residency period if you are from a country outside the EU (EØS).

Other requirements:
None

Differences in application procedure depending on country of origin:

None

Does everyone who passes the medical license examinations gain a residency position in a hospital?:


You have to apply for the positions as assistant doctors in the hospitals. Applicants are considered as job applicants.

Is there a waiting list for medical graduates who want to begin a residency?:


You might have to wait to get into the specialty of your choice.

Requirements for international physicians to be able to work in this country after completing their specialization there:

You would need a working permit and a permit to stay in the country.




References: www.safh.no
SAFH. Norwegian Registration Authority for Health Personnel

Is there a tuition fee for the residency? If so, how much (in euro or usd)?:
Yes,150 Euros


2. What is the annual salary (in euro or u.s.d)?:

40000 Euros





Specialties offered (name duration)::


Anesthesiology 4.5

Cardiology 3*

Clinical neurophysiology 4

Clinical pharmacology 4

Dermatology 4.5

Endocrinology 3*

Family Practice 4

Gastroenterology 3*

Gastroenterology Surgery 3**

Geriatrics 2*

Hematology 3*

Immunology and Transfusion Medicine 4

Infections Medicine 3*

Internal Medicine 5

Mandibula Surgery and Mouth Diseases 4***

Medical Biochemistry 4

Medical Genetics 4

Medical Microbiology 4

Neurology 4.5

Neurological Surgery 5

Nuclear Medicine 4

Obstetrics and Gynecology 5

Oncology 3.5

Ophthalmology 4.5

Orthopaedic Surgery 6,5

Otolaryngology 4

Pathology 4

Pediatrics 4

Pediatric and youth psyciatry 4.5

Pediatric Surgery 3**

Physical Medicine and Rehabilitation 3

Plastic Surgery 5

Psychiatry 4

Pulmonary 3*

Radiology 4

Renal diseases 3*

Rheumatology 5

Social medicine 3

Surgery General 5

Thoracic Surgery 3*

Urology 3*

Vascular Surgery 3**

Work related medicine 5


Special Notes about Specialities

* Internal Medicine required
** General Surgery required
*** Odontology exam required




How many hours of work per week are there?:


37.5





P.S mkuu Kakulwa kama unawasiwasi unaweza ukafanya USMLE Alafu ukakosa residency zipo nchi ambazo zinakubali USMLE scores Moja wapo ni new zealand




soma hapa katika web ya Medical Council of New Zealand for more info. link hapo chini


Self Assessment for Registration












 
Mkuu Njiwa nakupata vizuri sana lakini bado nina maswali na nitaya fire away kwa faida ya wengi as long as ull keep on responding.Wewe binafsi if u dont mind medicine ulisomea nchi gani?Na ilikuchukua muda gani ku pass step 1&2 na kupata residency?Wakati unafanya USMLE,ulikuwa ukiishi Marekani tayari?Manake hapa kuna shida moja ndugu yangu:Kama mtu anataka kuja kufanyia USMLE Marekani na hana pa kufikia yaani hana ndugu wakumu accomodate walau hata akipata kibarua basi afanye kwa masaa machache ili muda mwingi autumie kupiga msuli na kujiandaa na exams.Huyu mtu atakuwa katika wakati mgumu sana na pengine ashindwe kabisa kufaulu hii mitihani manake muda mwingi ataupoteza kwenye vibarua ili alipe bills.
Nasema hivi kwa sababu hiki ni kikwazo kwa wengi na hata nilisikia Kuna mshkaji mmoja ilibidi arudi kwao baada ya kuushindwa huu mchakato.
Halafu naona Norway ni pazuri cos im interested in cardiology na yenyewe ni 3years tu,wakati UK na Marekani ni kama 7yrs hivi.Sema tatizo ni hayo malugha yao,dah!
Tuendelee kuelimishana na kusaidiana mkuu
 
Mkuu Njiwa nakupata vizuri sana lakini bado nina maswali na nitaya fire away kwa faida ya wengi as long as ull keep on responding.Wewe binafsi if u dont mind medicine ulisomea nchi gani?Na ilikuchukua muda gani ku pass step 1&2 na kupata residency?Wakati unafanya USMLE,ulikuwa ukiishi Marekani tayari?Manake hapa kuna shida moja ndugu yangu:Kama mtu anataka kuja kufanyia USMLE Marekani na hana pa kufikia yaani hana ndugu wakumu accomodate walau hata akipata kibarua basi afanye kwa masaa machache ili muda mwingi autumie kupiga msuli na kujiandaa na exams.Huyu mtu atakuwa katika wakati mgumu sana na pengine ashindwe kabisa kufaulu hii mitihani manake muda mwingi ataupoteza kwenye vibarua ili alipe bills.
Nasema hivi kwa sababu hiki ni kikwazo kwa wengi na hata nilisikia Kuna mshkaji mmoja ilibidi arudi kwao baada ya kuushindwa huu mchakato.
Halafu naona Norway ni pazuri cos im interested in cardiology na yenyewe ni 3years tu,wakati UK na Marekani ni kama 7yrs hivi.Sema tatizo ni hayo malugha yao,dah!
Tuendelee kuelimishana na kusaidiana mkuu

hehehe! swali lako lipo personal kidogo but nitakujibu in general sikufanya Medicine Tanzania... uzuri ni kwamba chuoni kwetu ilikuwa ikifika mwaka wa pili tunakuwa trained ku seat for step one tunaingia mwaka wa 3 tushafanya step one.

2) Kujitayarisha na USMLE haihitaji wewe lazima uwe marekani. watu wanajitayarisha ndani ya nchi zao ... only USMLE step 2cS nadhani ndiyo utaifanya US ..

so what you have to do -

a ) Do your intership tanzania pokea hizo laki saba zao kwa mwezi weka kwa account ... same time jitayarishe for USMLE STEP 1 soma evrything from anatomy to behavior science! kama ukiangalia ile link niliyotoa hapo juu ya USMLE lecture series unataona ni masomo gani yanakuwa tested katika USMLE step one! tafuta PDF books zake print out soma! usidharau hata topics ambazo 1st year med student anadharau. kuna websites za USMLE qestion banks tembelea solve

Kama ukiona bado haupo ready for USMLE ikiwezekana anza kazi kabisa tanzania same time unaendelea kusoma kujitayarisha for this exam! ukiona upo ready faya registration kama ukiandika upo tanzania am sure watakupa kituo cha NAIROBI , huna haja ya kuja marekani kufanya huo mtihani.

2) sababu utakuwa una exposure ya hospitali step 2 ambayo ina involve mostly clical caseas haitokusumbua but inabidi pia usome right materials ! na sio MADESA kutoka chuoni kwako!... elimu ya kibongo bahati mbaya haipo updated so nakushauri nenda katika link niliyoweka hapo juu ya ku download videos for step one just change title weka for step 2 .. zitakuja nyingi download za kuanzia 2010.. topics zilizokuwa listed find PDF zake mfano OB & GYN serch kaplan medicine Ob & gyn PDF ukiapata results download.

All in All vitabu kutoka kaplan medicine ndio right materials for USMLE.. sio mavitabu mengine makubwa makubwa!

3) Mshakaji wako alikosea maybe kwa USA haina haja ya kuja kufanya mtihani huku , yeye alitaka makuu! tu! NAIROBI hapo!.. napia wakati unafuatilia & unafanya hizi issue siku shauri uache internship yako inayokuingizia laki saba per month! nope! yaani hata kama kazi anza tena unaongeza CV na itakupa more chance ya ku match for residency

About Norway! yep! kuzuri kule sababu madcatri wa norway wengi wanakimbia nchi zingine! wakiona kwao mishahara haitoshi... lugha tatizo.

ila Denmark kusoma lugha kule ni free kwa foreigners .. na kuna special language corse for foreign doctors cheki link hapa chini hii shule ina special danish classes for foreign doctors

Hellerup Language School - Requirements

Admission Requirements - Hellerup Language School is open for anybody who wants to learn Danish or to improve his or her Danish language proficiency.
The courses are free of charge* if –
• You are listed at the National Register (Folkeregister) at your local council (kommune)
• You have a Danish CPR number and a Health Insurance Certificate (Sygesikringsbevis)
• You are a foreign citizen

If you are a Danish citizen, or if you do not have a Danish residence permit or CPR-number, the price is DKK 99.00 per lesson.
If you are under the age of 18, you will need approval by your local council for language training at Hellerup Language School – unless you pay for tuition out of your own pocket.





Hapo kwenye red umeona as long you are a foreign .. na materials zako zishakuwa aproved na danish medical council ( rejea post # 4) ... utasoma bure kabisaaa!! tatizo ni mahala pa kukaa na utaishi vipi kama huna ndugu !.

Pia uzuri wa kule kama utakuwa na wife wako hata kama umetoka naye bongo mkazaa mtoto wenu kule... basi ushajiondolea mzigo mkubwa sana wa kusomesha ...

mwanao atasoma bure! kuanzia primary hadi university! kwani akifika 18 years atachagua uraia TZ au kule!!
 
Nimekuelewa mkuu.Lakini bado nitarudia baadhi ya maswali yangu.Step 2 nayo ulifanyia shuleni kwako?Baada ya kufaulu step 2,ulipata nafasi ya residency moja kwa moja au ulisubiria kwanza?Tuje kwenye mishahara na maslahi mengine kazini.Una maana hapo US wanalipa vizuri zaidi madaktari kuliko UK au Scandinavia?Umenivunja nguvu sana mkuu,uliposema UK kugumu zaidi ya US,manake akili yangu yote ilishajikita katika kutafuta nafasi ya ku practice UK na nilishaanza hata ku fulfill baadhi ya requirements.Vipi ilikuwaje ulipokuwa pale?Kwanini wagumu kutoa residency na kuajiri madaktari wa kigeni?
 
Nimekuelewa mkuu.Lakini bado nitarudia baadhi ya maswali yangu.Step 2 nayo ulifanyia shuleni kwako?Baada ya kufaulu step 2,ulipata nafasi ya residency moja kwa moja au ulisubiria kwanza?Tuje kwenye mishahara na maslahi mengine kazini.Una maana hapo US wanalipa vizuri zaidi madaktari kuliko UK au Scandinavia?Umenivunja nguvu sana mkuu,uliposema UK kugumu zaidi ya US,manake akili yangu yote ilishajikita katika kutafuta nafasi ya ku practice UK na nilishaanza hata ku fulfill baadhi ya requirements.Vipi ilikuwaje ulipokuwa pale?Kwanini wagumu kutoa residency na kuajiri madaktari wa kigeni?


1) kumbuka step 2 zipo mbili kuna step 2 CK na Step 2 cs ...

Step 2CK .. kama upo tanzania watakupangia kituo cha nairobi

Step 2 Cs kulikuwa na center Dubai ... nadhani kutakuwa na center ndani ya africa.. hii ni ya clinical skills! ni rahisi kupass sababu utakuwa ushafanya internship .. jinsi ya ku deal na mgonjwa things like histrory taking am sure hayatokushinda .. yaani mkuu kama umepita kote na kupass step 2cs ni kama finishing hakuna anayefeli kama amepass awali.

mimi nilifanya ndani ya US step 2 Cs .. chuo changu kilipo na US sio mbali anyways nimesoma medicine Caribbean. ila step 2CK nilipangiwa centers za karibu kumbuka wao ndio wanakupangia center kutokana na location yako.. center iliyokaribu sana na ulipo . Nilimaliza chuo nishafanya step 2 . nika apply for residency kuna website maalum unaingiza marks zako na inakupa results kutokana na marks zako residency ipi una possibility ya ku match!. nilipofanya hivo nikarudi TZ kutafuta license , si ujanjua bongo lazima tufanye mwaka mzima kupata license nilifanya hivo ila siku maliza mwaka nikapata bahati ni ka match on july!. kumbuka uzuri wa USMLE marks zina expire baada ya miaka saba na matching inategemea na perfomance ya ule mwaka. ndio maana wenye marks ndogo wanakaa hata miaka miwili.

so mimi nilichotarajia kufanya kama nisinge match nilitaka nia aplay na zile zile marks each year huku nitakuwa na update experience. experience ina advantage pia. Pia ningejaribu kutumia hizihizi marks ku apply nchi zingine.

2) Mkuu mi sikufanya PLAB nilifanya tu utafiti kuwauliza watu ambao walishafanya wakaniambia ni vizuri kwenda kufanya USMLE Advantages zake ni nyingi sana kuliko UK PLAB wao ndio walinambia nitahangaika kidogo kupata residency & they dont ccall it residency wanajina lao limenitoka. But kama umeshaanza initiatives usirudi nyuma .. fanya! bcz PLAB ni rahisi kupass kuliko USMLE . ukiona mambo hayajakwenda vizuru unaweza ukageuka upande wa pili na kupiga USMLE .

3) Kuhusu Mishahara yep! madactari kutoka ulaya na scandavian wanakimbilia US sababu ya maslahi ndio maana kupata residency inchi za scandavian ni rahisi sana.. coz they need doctors! language tu ndio kikwazo.

So mkuu kama umeshaanza initiatives na PLAB endelea....! mi sikuanza nilifanya tu survey ya USMLE, PLAB, MCCEE "ya canada which is said to be the most difficult among all"



 
Mkuu ngoja ni disclose some details kidogo!Im fresh out of a med school.Nimefanyia nchi moja ulaya inaitwa Hungary.Kama zali baada ya kumaliza,nikapata admission nchi nyingine kufanya Masters in Public Health kwa mwaka mmoja.Nikaona bora niitumie tu hii nafasi,manake huwezi jua what tomorrow will bring na wakati huo huo nikaanza kutafuta nafasi za residency UK.Kifupi nilipenda sana kwenda kufanya internship bongo,kwavile kuna uhaba wa madaktari na availability ya wagonjwa ni nzuri,hivyo ningeweza kujifunza zaidi.Lakini naogopa sana kurudi bongo,sijui kwanini.Labda im out of touch with reality,paranoid! na hata hiyo laki saba uliyosema kwa interners una uhakika mkuu?Nilisikia ni laki nne tu!
Nitaufanyia kazi ushauri wako kuhusu USMLE,ikiwezekana in a near future nitapiga step 1,nikishindwa kufanya step 2 hapa,nitakomaa tu nije kufanyia hukohuko US,manake kupata visa ya US kwa hapa haisumbui sana.Au unasemaje mkuu,naweza hata kutunza wazee tu kwa muda huku nikikamilisha vigezo vyao!
 
dah!shukrani njiwa na kakulwa pia,najifunza mengi!mi ndio nasubiri kuanza mwaka wa 4.niko likizo bongo,nimeomba kufanya field moja ya hospitali ya serikali hapa dar!niko na ma-interns wa hapa,nasoma mazingira,mazingira ya kazi sio mazuri,madaktari wengi hasa vijana hawataki kutibu,wanakimbilia kwenye miradi na NGOs,ila opportunities za kutengeneza pesa ni nyingi kama ukiwa mjanja/mtoto wa mjini.interns wanapokea laki 7.nitajitahidi mwakani nianze USMLE.
 
Natamani kuwa hii network ya medical students iendelee kukua ili tubadilishane ujuzi. Nitakuwapm.
 
Mkuu ngoja ni disclose some details kidogo!Im fresh out of a med school.Nimefanyia nchi moja ulaya inaitwa Hungary.Kama zali baada ya kumaliza,nikapata admission nchi nyingine kufanya Masters in Public Health kwa mwaka mmoja.Nikaona bora niitumie tu hii nafasi,manake huwezi jua what tomorrow will bring na wakati huo huo nikaanza kutafuta nafasi za residency UK.Kifupi nilipenda sana kwenda kufanya internship bongo,kwavile kuna uhaba wa madaktari na availability ya wagonjwa ni nzuri,hivyo ningeweza kujifunza zaidi.Lakini naogopa sana kurudi bongo,sijui kwanini.Labda im out of touch with reality,paranoid! na hata hiyo laki saba uliyosema kwa interners una uhakika mkuu?Nilisikia ni laki nne tu!
Nitaufanyia kazi ushauri wako kuhusu USMLE,ikiwezekana in a near future nitapiga step 1,nikishindwa kufanya step 2 hapa,nitakomaa tu nije kufanyia hukohuko US,manake kupata visa ya US kwa hapa haisumbui sana.Au unasemaje mkuu,naweza hata kutunza wazee tu kwa muda huku nikikamilisha vigezo vyao!

YEH MAN Sounds like a Good Plan.. but usirudi nyuma kama ushaanza maandalizi ya PLAB

dah!shukrani njiwa na kakulwa pia,najifunza mengi!mi ndio nasubiri kuanza mwaka wa 4.niko likizo bongo,nimeomba kufanya field moja ya hospitali ya serikali hapa dar!niko na ma-interns wa hapa,nasoma mazingira,mazingira ya kazi sio mazuri,madaktari wengi hasa vijana hawataki kutibu,wanakimbilia kwenye miradi na NGOs,ila opportunities za kutengeneza pesa ni nyingi kama ukiwa mjanja/mtoto wa mjini.interns wanapokea laki 7.nitajitahidi mwakani nianze USMLE.

Mkuu laki saba hizo kila mwezi weka laki tatu kwenye account for your future! jitayarishe na USMLE mapema !.. ukiwa tayari let me know nikupe PDF vitabu na pia jitahidi kudownload video katika link niliyoweka hapo Juu! nakusihi usisome mavitabu makubwa makubwa uliyosomea chuoni USMLE inavitabu vyake maalum very simple kuvielewa...



Natamani kuwa hii network ya medical students iendelee kukua ili tubadilishane ujuzi. Nitakuwapm.

ukiwa na swali mkuu we tu PM tutajibu kwenye thread kkwa manufaa ya wote
 
View attachment HowtoCreateaStudyPlanfortheUSMLE.zip


Bro, uliyeni Inbox samahani sana ... nilikuwa safari but! wacha nikupe links za ku download haya materials.... but itakuwa vizuri kwa USMLE First AID ununue hard copy! nadhani kenya vinapatikana since kuna kituo cha USMLE au amazon unaweza ukaagiza... kma wataka kuanza na step one! Nunuwa USMLE first AID step one.... & case study for step one! kama una nguvu ya kufanya both lakini sikushauri nunuwa USMLE First AID step 2 & case study step 2 ... ! hivi vitabu kutoka kaplan medicine ndio standard katika kujitayarisha na huu mtihani... ukivipata utakuta page za mwanzo wanakutayarisha jinsi ya ku face huo mtihani na pia ndani ya chumba cha mtihai itakuwaje!

Hivo vitabu itakuwa ni bure kama huna videos zake.. mabazo ni beo mbaya kido BUT!! angalia post za mwanzo mwanzo nilitoa link wapi pa ku download hizo videos ni nyingi mno ... inaweza ikachukuwa hata mwezi kuzimaliza & make sure una external hard drive yenye space kubwa kidogo..

1) First Aid for the USMLE Step I 2010.pdf

Download First Aid for the USMLE Step I 2010.pdf Torrent - KickassTorrents

2) USMLE.First.Aid.Step.1.2011 Final.pdf

Download USMLE.First.Aid.Step.1.2011_Final.pdf Torrent - KickassTorrents

3) USMLE NBME Step1 Tests.zip

Download USMLE NBME Step1 Tests.zip Torrent - KickassTorrents


4) Dr. Goljan special pathology Lecture series

Download Goljan Audio Lectures compressed with transcripts and slides Torrent - KickassTorrents

nime jaribu pia ku attach zip file ya maelekezo jinsi ya kujitayarisha na huu mtihani ...

P.S nimekupa download links sababu vitabu vingi mi nnivyo ni hard copy ! baadhi nilidowan load na ku print then nika delete ni kitambo mnoo.

good luck!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom