Mzee Mwafrika
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 203
- 105
Shukrani mkuu,nimekupata!
kama kuna vijana walio katika uwanja wa medicine !.. na wanahitaji kufanya residency US, DENMARK ! SWEDEN au kama unahitaji info yoyote about Medical Residency .. i will be more than happy to HELP! ...
how to register on ECFMG® | Educational Commission for Foreign Medical Graduates
how to get your USMLE #
All necessary materials nitakueleza jinsi ya kupata pm ME!
Anzisha uzi mpya..huu ni wa 2011 si ajabu njiwa alishaacha haya mambo akawa katibu wa chamaDah! nimefurahi sana kukutana na jukwaa hili pamoja na elimu nzuri ya ndugu Njiwa.
Binafsi nimemaliza mwaka wa kwanza mwezi huu mwanzoni na nilipata dondoo hizi kipindi niko semester ya kwanza japo sio kwa kina sana, nilijitahidi kujua hasa kuhusu hili swala ilanilikosa msaada mpaka leo nilivyokuta ukurasa huu na mijadala yote ilioendelea kipindi cha nyuma!!!
Inaonekana kdogo challenging ila nilidhamilia kuanza mchakato huu ila kwa sababu hapa wengi ni masenior wangu pamoja na kiongozi Njiwa mwenyewe sijui mnanishaulije kuhusu hili swala??