Update kwenye app huwa zinakuwepo tu ili kuboresha na kurekebisha makosa. Unaweza fungua play storesawa mara ya kwa unaweza usuone kama kuna update coz inakua imecache ukirudia mara kadhaa inaonesha update
Bro thanks nimekuja kuielewa difference sasa, kuquote basically ni kutaka kureply mesej kadhaa kwa mkupuo ila kama ukiquote mesej moja katika muonekano haina utofauti na kureply (actually one message)