Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 664
Dah hapo sijui kama nimekupata vizuri, hebu quote reply yangu hapo juu afuu hiyo hiyo ireply nione utofauti ukoje!pastory kimaryo
Mchungaji Kimaryo REPLY ni KUMJIBU na hasa iatatpkeza kwa yule unayetaka tu kumpa jibu lako katika Mada nzima na km unaongeza ya kwako katika Mada utashuka chini kabisa na kukuta kibox hapo unaendelea na yako ambayo yatahusiana na Mada, Post # 1
lkn QUOTE ni KUMNUKUU hapo sasa unaweza kutoa maelezo mbali kabisa na Mada ukimnukuu mwingine na kuileta kwenye Mada iwe kwenye post huru au kwa kumREPLY mmojawapo
na hapo unaweza kuQUOTE wengi tu na bado ukaziweka kwenye post moja(km vile forward kwenye Whatsapp)