Ingia jamiiforun->nenda Forum ya Educational, Techn &Prof halafu uingia jukwaa la Techn, Gadgets and Science Forum then uingie sehemu ya Stickies utakuta heading ya For JamiiForums mobile Users kila kitu utakuta hapo namna kuandika kwa rangi tofauti, kuweka picha,kuweka link nk