Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,035
Najaribu#0000FF#
Maalum JF pekeeHivi hii elimu inafanya kazi hata kwenye whatsapp au ni maalumu kwa ajili ya hapa jamvini?
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
![]()
Asante mkuu kwa mualikoshedede njoo ujifunze
Asante mkuu kwa mualiko
Am donehumu jf raha sana[\color]

Naisi ni server ya talpatalkKwa nini icon ya Jamiiforums app katika simu yangu imeamua kuwa tofauti?????![]()