sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Nikitaka kum-mention mtu mwenye jina lenye nafasi katikati nafanyaje....
Mfano: Mtu anaitwa Don, najua nikitaka kummention naandika @ Kisha jina lake,,,
Sasa mtu akiitwa Don From Dsm
Huyo nitammention vipi kwenye comment yangu
Unaanza na @ alafu linafuata jina lake lote.. Mfano Juliana Shonza linaandikwa Juliana Shonza
Last edited by a moderator: