For JamiiForums Mobile users

Hizo "Code" ni za watu wanaotumia simu au? Kwa sababu mimi nafanya vyote hivyo na zaidi bila hata kutumia "Code" yoyote.
 
wadau kwa yeyotu anaefahamu app nzur ya kuscan na kuondoa virus kwenye Sim za android atoe msaada wa kututajia.. benefitio to all android users

tumia virus scan au 360 antivirus nzuri sana na ufarahie simu yako
 
Msaada kwenye tuta: Cm yangu Huawei 530 nimefuta kila kitu zimebaki contact tu na nimebaki na app za kudowload NNE tu Niki download app nyingine naambiwa internal memory full
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…