jerrybigbwoy
Member
- Jun 14, 2015
- 7
- 0
wadau kwa yeyotu anaefahamu app nzur ya kuscan na kuondoa virus kwenye Sim za android atoe msaada wa kututajia.. benefitio to all android users
.MTU yeyote anae faham app nzur ya kuscan na kuondoa virus kwenye Sim za android plz atusaidie kututajia hii ni kwa manufaa ya watumiaji wote wa android
nmeamini kuna watu vilaza kila kitu kipo ila bado wanakosea