Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.
TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE
Tutatumia code hizi mbili
1.
2.[/COLOR ]
Usiweke Space yoyote ila mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code
OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.
Kama Unataka Kuweka Herufi Kubwa. Basi Fanya hivi...
andika maneno yako Mfano JF MOBILE. Sasa mwanzoni weka code hii na Mwishoni weka Code hii [/size ] Usiruke space kama mimi.. And its DONE. Hiyo 15 unaweza kuibadili kulingana na size unayotaka.