Sio dawa hiyo ni magonjwa tuu mnaleteana maana na yeye vile vile atakwenda kwa nyumba ndogo yake kimya kimya...mara baada ya miezi kadha vikohozu visivyoisha, kuharisha kwa mara kwa mara, malaria sugu, homa za hapa na pale, vipele na ukurutu mwili mzima...haya sasa asara kwa nani si nyinyi wote jamani. Wanaume ondoeni mawazo potofu yaliotawala akili zenu...amkeni jamani hii sio miaka ya 45.