For all singles out there (valentine humorous)

Kwa bahari Nzuri Valentine's imeangukia kwny kwaresima, na pia kwa wenzetu waislam Nimeona Kuna waraka Umetoka unawapiga Marufuku kusherehekea Valentine's.

So kwa wenye wabebiz zaidi ya mmoja Tumepata sababu Nzuri ya kutotoka nao!
 
mbona sisi wengine tupo single na wala roho zetu hazipapariki kama bisi ..yaani hatuna mpngo kabisa na hiyo sikukuu..namaisha yanasonga wala sijawahi kuona kuwa kunakitu nilichopungukiwa
Sure?
 
Kwa bahari Nzuri Valentine's imeangukia kwny kwaresima, na pia kwa wenzetu waislam Nimeona Kuna waraka Umetoka unawapiga Marufuku kusherehekea Valentine's.

So kwa wenye wabebiz zaidi ya mmoja Tumepata sababu Nzuri ya kutotoka nao!
Mtasumbuliwa hadi mkereke labda uhame mji.

Siku hiyo ndiyo kwanza unatumiwa meseji baby ndiyo natoka nipande tax au bajaji?

Kama unao watano ndiyo utaona msafara wa bajaji unaongozana kwako kama kuna kitchen party.
 
Hahaha mkuu ukishakuwa na wabebiz wengine hivyo unawapanga tu, kwanza kwaresima itahusika, au vipi safari ya ghafla ya kikazi itajitokeza!

Halafu sio wote lazima wapajue home kwako, Kuna mmoja wa Mhimu tu Ndio anaruhusiwa kupajua
 
Haha nimekupata.... unawahi kanisani mapema.

Siku hiyo unazungukia na jumuiya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…