Footage waasi wanavyolipuliwa Jimbo la Idlib Sryia

Footage waasi wanavyolipuliwa Jimbo la Idlib Sryia

Video iliyochukuliwa na drone huko Idlib lazima Turkey akasirike jinsi Magaidi yake anayoyafadhili yanauawa na Syria Army


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa ni hivyo, basi vita hivyo vingekuwa vimeisha. Unaoneshwa upande mmoja bila ya upande wa pili.

Warusi wamepata mahali pakujaribishia vifaa vyao. Lakini wanaomalizwa ni waarabu.
 
Dah, kweli vita ni sayansi, hizo drone wala huwezi kuziona na hazina sauti kabisa sababu zinaendeshwa na umeme.
 
Back
Top Bottom