'Fool Day' waganda wapangana nje ya kampuni kusubiri kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,577
Looh kweli foolday Amna adabu..waganda kadhaa wamepangana kwenye kampuni moja baada ya magazeti kuandika wanaitaji watu wake NA CV zao

Kazi mnayo

Haa hivyo baada ya mchana mabosi waliamua kuamua kuwaeleza Ukweli nawakaondoka wakilia

Hito cha mtoto magazeti ya Kenya kadhaa leo yemenunuliwa yakiwa yameandikwa Leo no tar 32-3-2017 loh
 
Back
Top Bottom