Food For thought: Kwanini Watu Sasa wanazikwa Usiku, tena na vyombo vya Serikali?

Sisi tunachapa kazi usitufundishe uvivu

Huku tukichukua tahadhari zinazotolewa na viongozi wetu wa Afya kuhusu kupambana na corona

Nyie chadema jifungieni
Kiongozi gani wa Afya amekwambia ujifukize?
 
Wewe kutokua na taarifa kutoka kwa hao unaoita wauguzi hakuondoi ukweli kua watu wanazikwa usiku.au unataka hdi ufe wewe ndo utajua kua watu wanakufa kwa corona na wanazikwa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Lete ushahidi,maana ziko mpaka picha mnatuma lakini picha hizo hizo ziko Kenya.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Watanzania msijizoeshe kulalamikia watawala kwa jambo ambalo hawajafanya wao.

Mimi siamini kama Corona inaambukiza kwa Kushikana au kutovaa Barakoa sababu ukiangalia wengi wa waliofariki ni watu wasiojichanganya sana na watu mitaani.

Korona ni ugonjwa wa dunia nzima sio Tanzania peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inafikirisha sana sana Mungu tu ndie anaweza kutuokoa! Kama kweli marekani na ukubwa wake kapigwa hii ni vita na njia za kupigana bado hazijagunduliwa rasimi!!
Hii vita pengine ina siri kubwa sana sana!
 
New York (CNN)Four trucks containing as many as 60 bodies have been discovered outside a Brooklyn funeral home after someone reported fluids dripping from the trucks, a law enforcement official told CNN.
The Andrew Cleckley Funeral Home home was overwhelmed and ran out of room for bodies, which were awaiting cremation, and used the trucks for storage, a second law enforcement source said Wednesday.
 
Juzi hapa mkalalamika kwamba watu ni wengi wanaoumwa pia waliofariki ila serikali haitoi maelezo, leo PM Majaliwa katolea ufafanuzi hayo mambo lakini tena mmeanza kuzua mambo mengine.

Watu kuzikwa usiku sio tatizo, jaribuni kuhoji nini chanzo cha tatizo watu kufa wengi kipindi hiki kama taifa na majibu yapatikane.

Watu mnaleta siasa na ujuaji mwingi kumlaumu Magufuli kama ndio aliyeileta Korona.

Marekani, Italy, Spain, UK n.k wameweka total lockdown lakini kila siku watu maelfu wanakufa huko kwao, Tanzania watu wakifa mnamlaumu Magufuli kwa lipi?

Korona ni ugonjwa wa dunia nzima sio Tanzania pekee na watu wengi wanaofariki sana ni watu wazima na wenye matatizo mengine ya afya, Tanzania inawezekana watu wakafa wengi zaidi sababu kwa East Africa kama nchi sio ndio wengi zaidi kwa idadi hasa kwa Jiji kama DSM,
pili ni nchi ambayo ni Coridor kwa maana watu wa mataifa mengi walikua wanapita hapa
pia inawezekana tukafa wengi sababu ya mfumo wetu wa maisha.

Mimi siamini kama Corona inaambukiza kwa Kushikana au kutovaa Barakoa sababu ukiangalia wengi wa waliofariki ni watu wasiojichanganya sana na watu mitaani.

Hivyo tuache kumlaumu Magufuli sababu hata nchi ambazo ziliweka total lockdown bado maambukizi yapo juu na mifani ipo.

Kenya kutokua na vifo vingi sio sababu kuweka lockdown sababu hata lockdown yao ya kihuni tu.
Nenda North Nigeria tangu juzi watu wengi wamekufa sana sasa Tanzania watu wakifa mnalaumu Magufuli

Badilikeni na hiyo mitazamo ya kisiasa na kitoto kwa kila kitu kuhusu Corona kumlaumu Magufuli

Serikali inajitahidi kuwazika watu kwa heshima lakini bado mnalaumu.

Korona ni ugonjwa wa dunia nzima sio Tanzania peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hakuna anayemlaumu Magufuli kwa vifo. Tunacholaumu ni reaction ya serikali. Tunasikia visa vingi vya watu either kukataliwa huduma au kupewa huduma duni kwenye vituo vya afya vilivyoandaliwa for Corona. Watu wengi wanaeleza kuwa ndugu zao wanafia njiani baada ya kukataliwa kwenye hospitali mbalimbali. Mpaka kuna video wagonjwa wakitoa maiti wenyewe. Hili la huduma mbaya za afya unataka alaumiwe nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kila mwenye uelewa nadhani hii serikali mnaielewa kufanya propaganda hata kwenye Maisha ya watu. Kumbukeni tetemeko la ardhi Kagera tulivyowabeza waganga. Baadaye Maisha yanaendelea as usual. Tuchukue tahadhari na kuelemisha a tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom