GE2025 Fomu ya ubunge CHAUMMA ni Tsh. 50,000

GE2025 Fomu ya ubunge CHAUMMA ni Tsh. 50,000

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,576
Reaction score
2,500
Wakuu

Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge.

Ubunge viti maalum - Sh. 50,000
udiwani viti maalum - Sh. 10,000
Ujumbe wa baraza la wawikilishi - Sh. 50,000
Udiwani Zanzibra - Sh. 10,000
 
Back
Top Bottom