Fomu ya mikopo kwa 2011/2012. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fomu ya mikopo kwa 2011/2012.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Monasha, Apr 4, 2011.

 1. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Kwa wale wenzangu na mimi tuliomaliza six mwaka huu(2011) na unajiona unataka na unafaa kuomba mkopo, ni uwanja wako sasa. unaweza kuaaply hata kabla ya matokeo lakini angalia pia isije kula kwako.
  Mwaka huu bwana itakulazimu ujue jinsi ya kutumia internet. Fanya hala kuaaply ndugu. Mwisho wake ni June 30.
  Nakutakieni application njema.
   
Loading...