Foloma za kutengenezea pavent zinahitajika.

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,980
Reaction score
3,635
Habarini wakuu.natafuta foloma za kutengenezea pavement brocks,mwenye kujua mahali zinakouzwa kwa hapa dar, tafadhali nijuze.Natanguliza shukrani
 
Habarini wakuu.natafuta foloma za kutengenezea pavement brocks,mwenye kujua mahali zinakouzwa kwa hapa dar, tafadhali nijuze.Natanguliza shukrani

Bila shaka wewe ni Mfipa! Wafipa hawawezi kutamka vizuri neno "frame" na badala yake wanaita Foloma wakimaanisha mould ya kutengenezea tofali.

Please nenda pale university of Dar es Salaam karakana iitwayo BICO - campus ya mlimani na watakupatia hizo foloma za kutengenezea paving blocks.
 
Hahahahahaha.Thanks mkuu, aliyeniagiza yuko sumbawanga but si wafipa.Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…