Folks,I got a job! Thanks to JF.

Kijana hongera kwa kupata kazi. Mshahara wako wa kwanza, chukua fungu uwanunulie wazazi wako zawadi ndogo, sio lazima iwe kubwa na ukiwapelekea waambie kabisa hiyo zawadi umenunua kutoka sehemu ya mshahara wako wa kwanza. Wazazi watafurahi sana na kukubariki. Baraka za wazazi ni muhimu katika mafanikio yako ya sasa na ya baadae. Fungu lingine la sehemu ya mshahara, peleka kanisani au msikitini kutegemea dini yako.

Sikushauri upeleke mshahara wote kanisani au msikitini kwani tunaambiwa Mungu anahitaji tu fungu la kumi, sio 100%.

Kila kheri.

Tiba

Hapa malimbuko yanahusika ndugu!!ila pia inategemea na imani yake inavyomtuma,anawiwa nini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
thumbs up bro.this job search seems to be a lifetime project to me.have spent each penny that falls in my pocket on applications,yet my efforts are fruitless.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom