Foleni

Souleyhb

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
67
Reaction score
14
Foleni kubwa haikuwahi tokea kuanzia kulipo katika barabara ruvu mpaka ubungo,magari hayatembei mlio majumbani taarifa hiyo


 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1397554586111.jpg
    97.8 KB · Views: 285
  • uploadfromtaptalk1397554613236.jpg
    72.6 KB · Views: 956
  • uploadfromtaptalk1397554641105.jpg
    89.2 KB · Views: 945
Acha kuongeza chumvi wewe, foleni haijafika hata Kibaha kutokea huko Ruvu sembuse ubungo!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya kuruhusu mabasi kutoka Ubungo inaweza kuwa imefika, kumbuka wengi waliposikia njia haipitiki waliparki magari lakini waliposikia inapitika wakaingia barabarani ndugu
 
....aaah mkuu sule kumbe ndo wewe..? ..nilikuwa nahisi, nimeona umejipiga picha,hongera kwa foleni...
 
acha oungo ww, mimi nimepita hapo, sasa hivi barabara inapitika kama mwanzo na hakuna msongamano, nahisi we utakuwa umepiga picha yale yanayozuiwa mjini asubuhi. hali ni shwari na sasa hivi najiandaa kurudi huko.
 
Hadi ruvu?

Ila wee mzuri, ndio maana unajiita souley-hb, kweli hendisamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…