Athuman Mintangah
Member
- May 29, 2021
- 79
- 133
Nichagueni mimi hayo yote ntayatatua wiki tu.
Aah hapo ni hatati aisee😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Makutano ya Ally Hassani Mwinyi road na Sam Nujoma road ,kwa sasa panahotajika daraja la juu bila kupasahau Mlimani City
Mkuu unaikumbuka foleni ya dar mwaka 2000-2010? Sasa ivi Kuna improvement sana, maboresho yaendelee tu
Sema Ile stend ya magufuli ibomolewe ndoinaleta jam
Wameindoa foleni ubungo wameipeleka kimara mwisho.
Wameitoa mbezi wameipeleka kimara mwisho.
Pale kimara mwisho panahitaji suluhisho la foleni iwe ni daraja au upanuzi wa barabara
Msijazane sehemu moja nendeni miji mingine.Mbona maisha ni safi tu,sio kung'ang'ana Dar wkt mna maisha magumu mnailaumu serikali bure 🤣Pamoja na jitihada zinazofanywa na serikali kujitahidi kupunguza adha ya foleni jijini,nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kwa juhudi zote lakini pia nishauri hatua zaidi zichukuliwe.
Foleni za Dar zinasababisha upotevu mkubwa wa muda na pia nishati nyingi inapotea kwa magari ku kwama barabarani kwa masaa mengi.
Huwa inanichukua takriban 3 hrs+ kusafiri toka mbagala hadi bunju! Kwa usafiri wa umma Na hunichukua 3 hrs toka magomeni hadi morogoro msamvu kwa private car.
Ukitathmini muda wa safari hizo uliotumika utagundua kweli kua pana shida kubwa jijini Dar na muda mwingi mtu anapoamua kutoka point A kwenda point B kitu ambacho ni hatari.
Ushauri;
~ Njia nyingi zitanuliwe.
~ Njia ya Tabata hadi segerea
Airport terminal 2 hadi gongo la mboto.
~ Tegeta kibaoni hadi bunju b darajani.
~ Mbagala kokoto hadi kisemvule.
~ Mtaa wa uhuru mnazi hadi buguruni.
~ Kutoka mataa ya morocco kupitia tmj mikocheni, mbezi ya chini kwa zena hadi africana mataa.
Flyover ya Tazara iongezewe njia nyingine juu kwa gari zitokazo bandari kuelekea ubungo.
Mwenge,Morocco pawekwe flyovers,pia buguruni chama/shell patafutiwe suluhishi japo pawekwe round about.
Tanroads wafanye tafiti za kuja na barabara za chini ya ardhi(subway) kwani tunakoelekea hali ya sasa itazidi mara dufu pasipo kubuni mikakati mikubwa.
Nawasilisha.
Kwa udogo wa mji wa Dodoma, basi magari yangekuwa yanasomama tu bila kutembea kama uhamaji wa serikali ungekuwa na impact kubwa,Mkuu inamaana hujui serikali asilimia kubwa imehamia Dodoma?? Sasa ingekua bado ipo dar mpaka sasa hii foleni ingekua kubwa sana. Maana viongozi wangekua muda wote na ving’ora
Stand ya Magu inaleta vipi jam mkuu? Network ya barabara pale Mbezi kwa sasa iko vizuri, stand haiingilii njia zingine iwe kuingia au kutoka.Sema Ile stend ya magufuli ibomolewe ndoinaleta jam
Stand ya Magu inaleta vipi jam mkuu? Network ya barabara pale Mbezi kwa sasa iko vizuri, stand haiingilii njia zingine iwe kuingia au kutoka.
SHida kubwa kwa sasa ni kuwa barabara nyingine zipo kwenye matengenezo kwa wakati mmoja..!! Hii imepelekea foleni kuwepo kila sehemu kisa ujenzi. Zingejengwa kwa kupishanaPamoja na jitihada zinazofanywa na serikali kujitahidi kupunguza adha ya foleni jijini,nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kwa juhudi zote lakini pia nishauri hatua zaidi zichukuliwe.
Foleni za Dar zinasababisha upotevu mkubwa wa muda na pia nishati nyingi inapotea kwa magari ku kwama barabarani kwa masaa mengi.
Huwa inanichukua takriban 3 hrs+ kusafiri toka mbagala hadi bunju! Kwa usafiri wa umma Na hunichukua 3 hrs toka magomeni hadi morogoro msamvu kwa private car.
Ukitathmini muda wa safari hizo uliotumika utagundua kweli kua pana shida kubwa jijini Dar na muda mwingi mtu anapoamua kutoka point A kwenda point B kitu ambacho ni hatari.
Ushauri;
~ Njia nyingi zitanuliwe.
~ Njia ya Tabata hadi segerea
Airport terminal 2 hadi gongo la mboto.
~ Tegeta kibaoni hadi bunju b darajani.
~ Mbagala kokoto hadi kisemvule.
~ Mtaa wa uhuru mnazi hadi buguruni.
~ Kutoka mataa ya morocco kupitia tmj mikocheni, mbezi ya chini kwa zena hadi africana mataa.
Flyover ya Tazara iongezewe njia nyingine juu kwa gari zitokazo bandari kuelekea ubungo.
Mwenge,Morocco pawekwe flyovers,pia buguruni chama/shell patafutiwe suluhishi japo pawekwe round about.
Tanroads wafanye tafiti za kuja na barabara za chini ya ardhi(subway) kwani tunakoelekea hali ya sasa itazidi mara dufu pasipo kubuni mikakati mikubwa.
Nawasilisha.
Kiongozi jili si kweli kabisa..!!!Sema Ile stend ya magufuli ibomolewe ndoinaleta jam
Aseee hii barabara ya survey kwenda goba ni ndefu sijapata kuona[emoji848]Mwaikibaki road imezidiwa sana hasa asbh na jioni ni shida. Serikali yetu sijui huwa inaplan nini tunakosa watu wa kuplan hata miaka 50 mbele.
Tunaipongeza serikali kwa kukamilisha barabara ya makongo imesaidia sana kwenda goba, madale iwe rahisi ila sasa jiulize baada ya miaka 5 hii barabara itakidhi mahitaji?? maana popn inaongezeka na magari yanaongezeka, tuje barabara ya Tandale unaona barabara nyingi baada ya miaka 5 zitakua hazina msaada.
Sahivi foleni imekua kubwa sana pale mlimani gari nyingi zinapita makongo road baada ya barabara kukamilika kumekua na foleni sana mpaka kero , gari zinazotoka Tanzanite bridge zinakuja kukwama mwaikibaki road, unasovu tatizo hili unasababisha lingine.
Angalia kuanzia kibo tegeta barabara ndogo haikidhi mahitaji imezidiwa ikitokea ajali mtakaa road mpaka unajuta. Barabara hata wazo la kuipanua sijui kama lipo barabara ni muhimu sana kwa uchumi kuna mabus, malori kibao ila ndogo hata ku overtake ni kipengele.
Wacha wamlize miradi iliyopo Kisha ndio wapambne na hoja zakoPamoja na jitihada zinazofanywa na serikali kujitahidi kupunguza adha ya foleni jijini,nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kwa juhudi zote lakini pia nishauri hatua zaidi zichukuliwe.
Foleni za Dar zinasababisha upotevu mkubwa wa muda na pia nishati nyingi inapotea kwa magari ku kwama barabarani kwa masaa mengi.
Huwa inanichukua takriban 3 hrs+ kusafiri toka mbagala hadi bunju! Kwa usafiri wa umma Na hunichukua 3 hrs toka magomeni hadi morogoro msamvu kwa private car.
Ukitathmini muda wa safari hizo uliotumika utagundua kweli kua pana shida kubwa jijini Dar na muda mwingi mtu anapoamua kutoka point A kwenda point B kitu ambacho ni hatari.
Ushauri;
~ Njia nyingi zitanuliwe.
~ Njia ya Tabata hadi segerea
Airport terminal 2 hadi gongo la mboto.
~ Tegeta kibaoni hadi bunju b darajani.
~ Mbagala kokoto hadi kisemvule.
~ Mtaa wa uhuru mnazi hadi buguruni.
~ Kutoka mataa ya morocco kupitia tmj mikocheni, mbezi ya chini kwa zena hadi africana mataa.
Flyover ya Tazara iongezewe njia nyingine juu kwa gari zitokazo bandari kuelekea ubungo.
Mwenge,Morocco pawekwe flyovers,pia buguruni chama/shell patafutiwe suluhishi japo pawekwe round about.
Tanroads wafanye tafiti za kuja na barabara za chini ya ardhi(subway) kwani tunakoelekea hali ya sasa itazidi mara dufu pasipo kubuni mikakati mikubwa.
Nawasilisha.
Kama hii ya kisutu kwenda kurasini haloo[emoji848]SHida kubwa kwa sasa ni kuwa barabara nyingine zipo kwenye matengenezo kwa wakati mmoja..!! Hii imepelekea foleni kuwepo kila sehemu kisa ujenzi. Zingejengwa kwa kupishana