Mkuu kupanua barabara ni muhimu sana kwasababu hata hayo magari ya uokoaji some time yanashindwa kufika haraka eneo pale ambapo wananchi wanapoamua kupita barabara zote za eneo hilo hivyo hata wanaorudi kupata foleni tenaSio lazima kupanua barabara. Kinachotakiwa ni kuwa na gari za uokoaji zenye uwezo mkubwa. Ingekuwa gari dogo limepata ajali, hata kama halikuziba njia, lingechukuliwa na gari za uokoaji zinazokaa karibu na wanapokaa maaskari wa usalama barabarani. Kilichokosekana hapo ni uwezo wa mtambo wa uokoaji wa kuliondoa lori hilo barabarani haraka.
Ni kweli kbs,hiyo ajali ilitokea jana saa nne usiku,lkn inavyoonyesha ucku kucha ulikosekana mtambo wa kuweza kuliondoa hilo lori,na askari walikuwepo.kwa kweli watu wameteseka sana......Sio lazima kupanua barabara. Kinachotakiwa ni kuwa na gari za uokoaji zenye uwezo mkubwa. Ingekuwa gari dogo limepata ajali, hata kama halikuziba njia, lingechukuliwa na gari za uokoaji zinazokaa karibu na wanapokaa maaskari wa usalama barabarani. Kilichokosekana hapo ni uwezo wa mtambo wa uokoaji wa kuliondoa lori hilo barabarani haraka.
Maaskari wetu, hawapendi kujichanganya - how comes wasingetumia njia ya upande moja na shughuli ikaendelea?Sio lazima kupanua barabara. Kinachotakiwa ni kuwa na gari za uokoaji zenye uwezo mkubwa. Ingekuwa gari dogo limepata ajali, hata kama halikuziba njia, lingechukuliwa na gari za uokoaji zinazokaa karibu na wanapokaa maaskari wa usalama barabarani. Kilichokosekana hapo ni uwezo wa mtambo wa uokoaji wa kuliondoa lori hilo barabarani haraka.
Unajua chanzo cha hiyo foleni lakini au unaongea tu unavyojisikia.Maaskari wetu, hawapendi kujichanganya - how comes wasingetumia njia ya upande moja na shughuli ikaendelea?
Kuna chanzo tofauti na hicho kilichoelezewa humu?Unajua chanzo cha hiyo foleni lakini au unaongea tu unavyojisikia.
Ngosha kaa kimya.Unajua chanzo cha hiyo foleni lakini au unaongea tu unavyojisikia.
Tunakubali kweli lorry lilisababisha foleni, ila kuna wakati mwingine foleni hutokea kwa askari kutokuchanganya na za kwao, wamekariri tu.Ha ha ha JF raha sana..!
mkuu hata kama kungekuwa na chanzo kingine tofauti na kilichoelezwa humu.. issue ni foleni isiwepo inapoteza lengo.
Sio lazima kupanua barabara. Kinachotakiwa ni kuwa na gari za uokoaji zenye uwezo mkubwa. Ingekuwa gari dogo limepata ajali, hata kama halikuziba njia, lingechukuliwa na gari za uokoaji zinazokaa karibu na wanapokaa maaskari wa usalama barabarani. Kilichokosekana hapo ni uwezo wa mtambo wa uokoaji wa kuliondoa lori hilo barabarani haraka.
Sio kwl ninachojua huwa magari ya kwenda kurudi mbagara huruhusiwa kwa zamuTunakubali kweli lorry lilisababisha foleni, ila kuna wakati mwingine foleni hutokea kwa askari kutokuchanganya na za kwao, wamekariri tu.
Kwa mfano huwa sielewi kwanini kila ikifika saa 9/10 jioni magari ya kutoka Kilwa road yanazuiwa kuingia mjini, matokeo yake watu wanatembea kwa mguu toka Ufundi hadi posta,kariakoo au watu kutoka stesheni, kariakoo wanatembea kwa miguu hadi mivinjeni au ufundi kwa miguu ili wapande mabus ya kwenda Mbagala, Tandika, na Kigamboni?