Patriotic original
New Member
- Mar 21, 2012
- 1
- 0
kila siku mawazo yanatofautiana,
siku nikiwa na appointment nawazia hiyo hiyo jinsi nitakavyonyoosha got,
nikiwa nimepigwa mzinga nakuwa naumia moyo ninavyitapanya pesa zangu, 200,000= mifuko 13 ya cement, banda langu si lingeisha?

mimi love this!Hahahaha lol huu utafiti balaa........... Mie foleni huwa ni story tu na ma-workmate! Siku nikiwa kwa daladala nawaza jinsi ninavyochelewa kusakata kabumbu na mwanangu!! ndio zoezi langu la kila siku ukifika tu unapokewa mkoba unaotupiwa kwenye sofa kisha unaambiwa mamii kaa kwa huko (yaani mlangoni) kisha anaanza kurusha mpira!
mimi love this!
wee utakuwa unawahi Ben 10