Ndio mabolesho ....
Wabongo sie wavivu sana unatoka Mabibo tu hapo kwenda UDSM unapanda gari wakati foleni ni kubwa hivyo? Hizo 55 mnt alizotumia kwenye foleni si bora angetembea tu? it only takes 25mns tokea Hostel hadi UDSM
mabibo hosteli hadi udsm si dakika ishirini tu. Acheni uvivu sometimes muwe mnatembea kwa miguu.habari wadau, tangu jana hawa jamaa wa mrad wa mabasi yaendayo kasi wamefunga upande mmoja wa barabara ambao ndio unatengenezwa hivyo kusababisha folen kua kubwa sana hapa ubungo, nimetumia dakika 55 (6:10-7:05) kutoka mabibo hostel hadi udsm,
ahsante mkuu...=maboresho
darasa la pili....Ndio mabolesho ....[mabolesho]
Elimu yako,please!!?
Umefika saa ngapi huko kigamboni? Au bado upo kwenye foleni?LIVE HAPA:Hivi sasa nipo kimara baruti afu naenda kigamboni.Mungu saidia hali ni tete sana