Sadly, Mbezi Beach ain't what it used to be.
Kuna jam ya kufa mtu mitaa ya mbezi beach sasa hivi, kuanzia Lugalo kuelekea Tegeta magari hayasogei kabisa, nimekaa zaidi ya masaa matatu na sioni dalili za kusogea. Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa shwari.
Kama una mpango wa kuja Mbezi beach nakushauri tafuta tu sehemu uwe unabailisha chupa labda mpaa saa 9 usiku hali inaweza kuwa shwari.
KONOIKE wazeni upya la kufanya hapo africana msitupige fix hapo bado sana ujenzi wenu.Waziri wa mabarabara tembele hapo uone
Umetmbea mwenge to africana??? Ahsantee kwa kuninywesha kahawa mbichi lol
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nimetembea toka Mwenge mpaka Africana...Ndo naingia home sasa hivi....
Mkuu hiyo saa 9 alfajiri c anajipanga tena kwenye foleni ya kurudi oficini mjini..?
Kazi mnayo wakazi wa huko..
dhuuu mwenge mpaka africana miguu haihitaji first aid kweli..
Kuna jamaa kanambia yupo pale Nguruko anapiga mbuzi mpaka foleni iishe..
Cha ajabu wala sijachoka...Si unajua mkiwa wengi hamchoki huku mnapiga stori mbili tatu...
Mpe hongera aisee machale yalimcheza akapaki mapema, maana mimi ni kama nipo msituni siwezi kugeuza wala siwezi kwenda mbele... Hali ni mbaya!