Foleni ya kutisha barabara ya Bagamoyo

Foleni ya kutisha barabara ya Bagamoyo

Na wewe ukishuka ukaenda mbele kidogo tu utajua tatizo ni nini.Si unaona walioshuka hawajarudi?Ina maana wameshagundua tatizo na wameshapata suluhisho.
 
Habari wanabodi.
Nimetokea mwenge kuelekea nje ya mji kupitia New bagamoyo road, foleni ni ya kutisha na hii imeanzia mwenge mataa mpaka tegeta darajani, nilipofika afrikana njia panda nimemuona kamanda Sirro amekaa kando anawaangalia trafiki namna wanavyoongoza magari.

Hii hali siyo ya kawaida kama unatokea Tegeta kuja mwenge tafuta njia mbadala la sivyo utachelewa katika mipango yak o maana hili foleni siyo mchezo.

Nawatakia siku njema.
Asante kwa taarifa. Ila mimi siwashauri watafute njia mbadala, bali nawashauri watafute usafiri mbadala kama vile boda boda...
 
Ni kweli mkuu ila kwa foleni hii siyo kawaida, kuna Jambo labda tutajua baadae shida nini


Kuna sehemu nimeona humu kuwa kuna ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa mabweni UDSM, huenda ina connection na hiyo foleni (soma hapa)
 
Back
Top Bottom