Foleni ya kutisha barabara ya Bagamoyo

Foleni ya kutisha barabara ya Bagamoyo

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,786
Habari wanabodi.
Nimetokea mwenge kuelekea nje ya mji kupitia New bagamoyo road, foleni ni ya kutisha na hii imeanzia mwenge mataa mpaka tegeta darajani, nilipofika afrikana njia panda nimemuona kamanda Sirro amekaa kando anawaangalia trafiki namna wanavyoongoza magari.

Hii hali siyo ya kawaida kama unatokea Tegeta kuja mwenge tafuta njia mbadala la sivyo utachelewa katika mipango yak o maana hili foleni siyo mchezo.

Nawatakia siku njema.
 
shukran kwa ustaarab
 
Baada ya kuhamia dodoma yote haya yatakwisha au kupungua kwa kias kikubwa
 
Ni kweli mkuu ila kwa foleni hii siyo kawaida, kuna Jambo labda tutajua baadae shida nini
Jana usiku kuna MTU kasema magari ya jeshi/polisi yamepita mengi kwa speed na ving'ora. Nadhani kwa mwendelezo wako huu kuna jambo linaendelea somewhere...
 
Kama kichwa kinavyojieleza foleni ni kubwa sana na watu washuka kwenye daladala wanatembea kwa miguu

Mwenye kujua Kuna tatizo gani atujulishe
 
Back
Top Bottom