Mr Njovu
Member
- Mar 15, 2016
- 44
- 29
Licha ya kila awamu kuwa na Rais mwenye matakwa tofauti, Takwimu inaonyesha kuwa raisi aliyepita alizima Tv, Rais aliyeko madarakani amezima simu, swali ni je Rais wa wafanyakazi hewa atazima nini? maana moja kati ya ahadi zake ni kukabidhi Mikoa kwa madereva, kama alivyofanya Dar es salaam kuikabidhi kwa Makonda.