Foleni ya Dar leo ni hatari!

Foleni ya Dar leo ni hatari!

Always December is like this..
Nikuambie kitu. Miaka yote December ndio mwezi pekee ambao hauna foleni Dar.
Reason wachaga wengi wauza mitumba wanakua likizo lkn pia watu wengi wanakua likizo hii inajumuisha walimu na wanafunzi.
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.
 
Hii nchi kwasasa inanipa vibe za 2005 hadi 2015. Naomba Mungu tu Madawa ya Kulevya na Ugaidi usije kwa kasi.
Kijana inaelekea umeotea bingo...
 
Tahadhari, kama hauna mishe ya muhimu ni vema ukatulia nyumbani maana njia karibu zote za city centre zimefunga.
OVA.
Na hapo wengine wako Dodoma sijui wakirudi itakuwaje
 
Nikuambie kitu. Miaka yote December ndio mwezi pekee ambao hauna foleni Dar.
Reason wachaga wengi wauza mitumba wanakua likizo lkn pia watu wengi wanakua likizo hii inajumuisha walimu na wanafunzi.
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.
 
Kama ni hivi basi hii hali haizoeleki..
Pia nadhani imechangiwa kiasi kikubwa na viongozi waliofika kwajili ya ziara.
Na huu ujenzi unaoendelea Kilwa road na hii ya Magomeni mpaka JKT acha kabisa
 
Ukiona foleni Dar December ujue Kuna polisi amevimbiwa rushwa.
Team insomnia , bado mko kwenye foleni?
Mimi foleni nimeipatia dawa yake. Popote itakaonikuta natafuta bar ya karibu, na paki mpaka nione imeisha kabisa.
Mwenye wasiwasi nampigia video call ili aione foleni.
 
December ya kipindi cha dictator I'd's amin ilikuwa very cool watu walikuwa wapole kama mapimbi kimya na vigari walifungia ndani DADEK.....
 
Ile flyover ya Tazara Ni ya kuwarahisishia watawala na wazungu kwenda na kurudi kutoka eapot.
Ni Kama Ile daraja ya agakhan Hadi Oysterbay. Ile Ni kuwarahisishia wakubwa waende town/eapot fasta na kurudi vile vile wasikutane na vibaka wa mwananyamala, mosko na kwingineko salenda bridge.
Kama wakubwa wanamjali mlalahoi, wanyanyue na wapanue jangwani.
Vile vile waboreshe mwendokasi.

CCM oiyee

On point. Uko sawa, ila unamwambia nani sasa hivi akusikilize, maji, umeme, tozo, kodi, uchumi kila kitu kimewashinda.

Waliopo sasa hawajui hata maana ya serikali. Wizara ya mipango, fedha. Uchumi.
 
On point. Uko sawa, ila unamwambia nani sasa hivi akusikilize, maji, umeme, tozo, kodi, uchumi kila kitu kimewashinda.

Waliopo sasa hawajui hata maana ya serikali. Wizara ya mipango, fedha. Uchumi.
Mambo yaliharibika zaidi baada ya ubunge kua nafasi ya uteuzi sio ya kuchaguliwa. Walioteuliwa Ni YES men and women, wakahongwa hela nyingi ili waitetee serikali iliyo wapa kula
 
Team insomnia , bado mko kwenye foleni?
Mimi foleni nimeipatia dawa yake. Popote itakaonikuta natafuta bar ya karibu, na paki mpaka nione imeisha kabisa.
Mwenye wasiwasi nampigia video call ili aione foleni.
Sio kila mmoja ni mlevi na sio kila location ina bar ujue
 
Sio kila mmoja ni mlevi na sio kila location ina bar ujue
Sio kila anaekwenda bar anakwenda kunywa pombe. Binafsi naendaka kula kongoro na kuangalia vile visungura vikirusha rusha mikia.
Njia ninazochagua hua Zina bar. Siwezi kupita kipande Cha Buguruni Matumbi via alhamza ambapo hakuna sehemu ya kuchepuka.
Uzoefu huu nikiupata jangwani siku nimekunywa pombe mjini mchana, saa kumi Niko kwenye foleni jangwani magari hayaendi halafu Nina mkojo wa bia. Pembeni yangu Kuna daladala DCM imejaa watu.
 
Back
Top Bottom