Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jun 11, 2014 #21 "Foleni isiyo ya kawaida" hii inaonyesha ni jinsi gani foleni ilivyokuwa ni kitu cha kawaida Dar.
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jun 11, 2014 #22 Hii folen sijui imesababishwa na nin leo??
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 Jun 11, 2014 #23 Acheni kuropoka kama mahayawani! Uchovu wa foleni umemfanya akosee, Foleni ya leo ubungo sijapata kuona.
Acheni kuropoka kama mahayawani! Uchovu wa foleni umemfanya akosee, Foleni ya leo ubungo sijapata kuona.
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jun 11, 2014 #24 Ndibalema said: "Foleni isiyo ya kawaida" hii inaonyesha ni jinsi gani foleni ilivyokuwa ni kitu cha kawaida Dar. Click to expand... leo imekua KALI SANA
Ndibalema said: "Foleni isiyo ya kawaida" hii inaonyesha ni jinsi gani foleni ilivyokuwa ni kitu cha kawaida Dar. Click to expand... leo imekua KALI SANA
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jun 11, 2014 #25 Mkoroshokigoli said: Hii folen sijui imesababishwa na nin leo?? Click to expand... Mbali na miundo mbinu duni, lakini kwa kiasi kikubwa foleni huchangiwa pia na uzembe wa baadhi ya madereva.
Mkoroshokigoli said: Hii folen sijui imesababishwa na nin leo?? Click to expand... Mbali na miundo mbinu duni, lakini kwa kiasi kikubwa foleni huchangiwa pia na uzembe wa baadhi ya madereva.
Paw Content Manager JF Staff Joined Nov 14, 2010 Posts 2,114 Reaction score 1,384 Jun 11, 2014 #26 Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake. Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku
Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake. Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku
Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Jun 11, 2014 #27 Toka waondoe taa pale ubongo hiyo foleni ni kawaida hasa siku kama leo na jmosi
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,856 Jun 11, 2014 #28 Paw said: Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake. Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku Click to expand... Pole mkuu Paw basi wenzio tukajiachiia manake hatukusikia harakati zako kimbe foleni Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Paw said: Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake. Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku Click to expand... Pole mkuu Paw basi wenzio tukajiachiia manake hatukusikia harakati zako kimbe foleni
KILLERS KISS GUY JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 718 Reaction score 259 Jun 12, 2014 #29 umesema kitu cha musingi kwa kweli wasipotafuta suruhisho taifa linapata hasara kila kukicha, lakini tatizo la foleni hata dar haliwezi kuisha kwani viongozi wetu wakati wanapita hupita kwa vingora.......
umesema kitu cha musingi kwa kweli wasipotafuta suruhisho taifa linapata hasara kila kukicha, lakini tatizo la foleni hata dar haliwezi kuisha kwani viongozi wetu wakati wanapita hupita kwa vingora.......
mwenemti JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 309 Reaction score 59 Jun 12, 2014 #30 Wakuu michepuko ndio dili njia huko kunaforeni,kesho nifateni mimi niwaonyeshe michepuko mapema unaingia home,unatoka 12 unaingia suka 1:30 saafi.
Wakuu michepuko ndio dili njia huko kunaforeni,kesho nifateni mimi niwaonyeshe michepuko mapema unaingia home,unatoka 12 unaingia suka 1:30 saafi.