foleni sio foreni.
hivi kuna haja ya watu woote kuishi dar?
kuna haja ya serikali kujenga makazi zaidi nje ya jiji kama pwani na morogoro, baada ya muda wa kazi, watu wananyooka kwenda morogoro na pwani kwa ajili ya shelter..
Halafu suala lingine, Dar es salaam haitakiwi kuwa na nyumba binafsi nyingi kiasi hicho, nyumba ziuzwe kwa lazima, serikali ijenge makazi ya kupangisha, hii itapunguza idadi ya makazi ya watu na msongamano pia.
strategy nyingine ya kupunguza foleni pia kulitakiwa kuongezwa gharama za kuingia na private car ndani ya jiji! kwanini barabarani iwe parking ya magari? hii system si nzuri hata kidogo.. serikali inabidi ipandishe kodi maradufu, kuingia city centre iwe ni kwa public vehicles tu ambazo zitakuwa advanced with timely route.
kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya ili kupunguza foleni, tatizo serikali yetu imekata masikio, inasikia myangwi tu!
Hii foreni ya Ubungo imekuwa yakutisha siku hizi, sijui tunaelekea wapi mji huu kwa hali hii.

yaani ufanye kazi dar then urudi moro,kwa usafiri gani???hapo kimara tu masaa 6 moro si itakuwa 8hrs???!
nyumba za kupanga na binafsi zote si wanaishi watu?? watapungua vipi???
btw una uhuru wa kuishi mkoa wowote tanzania sio lazima serikali ilazimishe watu wasiishi dar.
Nyumba ziuzwe halafu derikali ijenge nyumba za kupangisha???????
mkuu unajua sababu hasa ya kuwa 6 hours ni nini?
je tukiwa na treni ya umeme kutoka dar to moro then pwani, unadhani hali itakuwaje?
tunahitaji kubadili mifumo tu katika utendaji serikalini, naamini mabadiliko yatakuja tu!
cc BADILI TABIA...
Hii foreni ya Ubungo imekuwa yakutisha siku hizi, sijui tunaelekea wapi mji huu kwa hali hii.
I hate dis kind of muh'fo critism I'm like wtf?
ndio maendeleo hayo sasa mkuu sosi mkuu wa nchi..Hii foreni ya Ubungo imekuwa yakutisha siku hizi, sijui tunaelekea wapi mji huu kwa hali hii.
Pole sana, mimi nimenasuka mida hii huko nimekoma kupitia morogoro road. Kuanzia manzese foleni ni KIYAMA mpaka sinza kote hakuendeki