Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Mshana hiyo Benki itakuwa na harufu ya shombo ya miguu kubwa sana
au ni POSTA hapo maana inanikumbusha kule Posta ya Mombasa Usangi enzi zile mthuya katuwekea
Havache thana muathu
Nyerere kwa mara nyingine ... !!!Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Na hakuna aliyekuwa ananung'unika kwa sababu wote tulikuwa kwenye foleni bila kujali kiongozi au mtu wa kawaida! Lakini siku hizi wakubwa wakiumwa hata funza tu kidoleni hao nje, kajamba nani utaponea kwa mganga wa jadi!Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Nyerere kwa mara nyingine ... !!!
Na hakuna aliyekuwa ananung'unika kwa sababu wote tulikuwa kwenye foleni bila kujali kiongozi au mtu wa kawaida! Lakini siku hizi wakubwa wakiumwa hata funza tu kidoleni hao nje, kajamba nani utaponea kwa mganga wa jadi!
Serkali yake haikuwa na deni MSD kiasi cha kutishia uhai wa wananchi wake!Hapana, si ukweli, hakuna kiongozi aliyekuwa anakaa foleni, walikuwa wanapelekewa makwao.
Hata Nyerere alikuwa kitibiwa nje mpaka kafia hukohuko na hakufia Tanzania, au hulijuwi hilo?
Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda kupanga makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Yaelekea bila kumtaja Nyerere unaugua weye! Haya bwana
Ni enzi za RTC hizo bidhaa kwa foleni na kwa kiwango
Mleta mada kaona hiyo ni "foleni new model", mimi namfahamisha foleni tulizokuwa tukiweka wakati wa Nyerere, hiyo ni cha mtoto, hao wako ndani wamekaa juu ya viti wanangoja huduma, sisi tulikuwa tuko nje, mtaani, saa nane za usiku tunawahi kwenda kupanga mawe na hatujuwi tuakipata nini, na huo ulikuwa wakati wa Nyerere.
Hampendi kujuwa tulipotoka? kwa sisi tuliowahi kukaa foleni wakati wa Nyerere, hii si "foleni new model".
Huo ndio ukweli.
Serkali yake haikuwa na deni MSD kiasi cha kutishia uhai wa wananchi wake!
Inawezekana ni kweli lakini siku nyingine na mazuri pia uyakumbuke kwani bila yeye wengi wenu hata kuandika isingewezekana kabisa (Ingawa najua utapinga ukweli huu)
Unanikumbusha enzi za Nyerere tulikuwa tunaenda kupanga makatambuga, mawe, makopo, betri zilizokufa kwenye duka la kata saa nane za usiku, hatujui kukicha tutaambulia nini.
Watoto wa sasa mshukuru, hamjayakuta hayo.
Hiyo maana yake ni kwamba hao watu hawawezi kusimama kwa muda mrefu. Watu wa aina hiyo ni wale wa umri wa 60 plus. Wanawake wa umri huo hawawezi kusimama kwa muda mrefu kwenye foleni kusubiri huduma.Hata ukiangalia picha majority ni kina mama.
Kumbe Faiza kikongwe!