Foleni Mbezi Mwisho

Foleni Mbezi Mwisho

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Wadau nasikia kuna bonge la foleni Mbezi Mwisho, tafadhali tujuzeni kuna nini, kwani foleni yenyewe sio ya kuja mjini ni ya kuelekea Morogoro
 
Tatizo kulikuwa na lori liliziba njia pale Mbezi Mwisho ndo ikawa kasheshe kweli kweli kwani kama kawaida watu wakaanza kutanua na kuziba njia kabisa.
 
Back
Top Bottom