kukosa kazi nako saa nyingine ni kubaya sana hili nalo ni swali la kuuliza eti foleni ya helikopta watu wengine bana sijui mkoje
Watu wengine bana! Ili mradi mtu aonekane ameanzisha thread. Kwani ukisoma tu za wenzio kuna ubaya gani? Afu ukirushiwa madongo utaanza kulialia. Mara ooh wameniona mgeni, mara ooh wananibagua kwa kuwa nna jina la kinyakyusa, mara sijui nini...sijui nini...
lol.apa ofisini kwetu huwezi amini watu wanapanga ili waende kikosi, kuanzia bosi hadi mfagiaji wanataka waende kikundi....