Foleni kubwa Maeneo ya Lugalo

Foleni kubwa Maeneo ya Lugalo

Muzii

Senior Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
196
Reaction score
118
Foleni ni kubwa sana eneo la kuanzia Tangi bovu hadi Mwenge kuna ajali mtu kagongwa na gari inashauriwa wenye magari watumie njia mbadala
 
shukran kwa taarifa mkuu, nilitaka kuja tow ila ngoja nivute mda kdg.
 
shukran kwa taarifa mkuu, nilitaka kuja tow ila ngoja nivute mda kdg.

Sawa mkuu ajali yenyewe ya pikipiki ambayo dereva na abiria wamefariki baada ya kugongwa na gari maeneo ya Super Market ya zamani ya Jeshi
 
Sawa mkuu ajali yenyewe ya pikipiki ambayo dereva na abiria wamefariki baada ya kugongwa na gari maeneo ya Super Market ya zamani ya Jeshi

Duh! Sijui leo vipi hata Mbezi kibanda cha mkaa kuna ajali kuna mtu amegongwa nahisi kama amekufa (kwani sikushuka kuwa na uhakika) polisi wenye DFP walifika pale.
 
Ahsante kwa taarifa ndugu.Nipo maeneo ya makonde,itabidi nibadili njia.
 
hizi boda boda zinamaliza sana maisha ya watu..........

Madereva wa Bodaboda na Bajaj wanatakiwa wapewe mafunzo ya matumizi salama ya barabara. Mfano barabara za njia 2 upande mmoja unakuta Bajaj ama Bodboda kulia wkt speed yake ni ndogo sana,ama wakati mwingine wanakaa kulia na kushoto,gari zinashindwa ku-overtake na kusababisha foleni!

Nashauri usafiri huu upigwe marufuku kwa baadhi ya barabara muhimu,hasa muda wa asubuhi na jioni ili kuweza kupunguza ajali na kero nyingine!
 
Kwa kuwa wachina waliwapa pikipiki polisi,hawazipigi marufuku huku kila kukicha zinawamaliza watanzania
 
:doh::doh::doh::doh::doh:

Nimekaa foleni TWO hours..........

:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
 
hawa kamaa wangewapa elimu ya usalama barabarani wao wanakimbizana na magari tu wakati hazina spidi zaidi ya magari wana bore sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom