John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
Hahahaha....mkuu huyo jamaa yako hana stamina
Wabongo wote tukikaa mjini, WAHINDI wataishi wapi??
Na kila kukoja wanaendeleabkuletwa nchini
Hahahaha....mkuu huyo jamaa yako hana stamina
Wabongo wote tukikaa mjini, WAHINDI wataishi wapi??
Yeah dear hiyo ndiyo option pekee kwa kweli....
Acha uzembe wa kufikiri unazani wote wanawahi akuna aliejiajiri.Fanya ujiajiri my dear, utazeeka kabla ya muda wako alafu iwe shida bure
Mkuu naona umeshaanza kuchombeza, dear-dear zinakuwa nyingi...
Mkuu naona umeshaanza kuchombeza, dear-dear zinakuwa nyingi...
yaani nimepanda gari kimara mwisho nimemaliza saa 1 mpaka ss hata tanesco sjafika!!
Acha uzembe wa kufikiri unazani wote wanawahi akuna aliejiajiri.
Kwa hiyo utafanyeje wakati wa kurudu? kuna jamaa yangu kaganda hapo jirani na Ubungo mataa, toka saa sita hadi muda huu hajatembea hata sentimeta mojaNdio mambo ya mvua hayo, dawa ni kuwahi kuamka haina ujanja.
Mimi naishi Mbezi ila nimefika mjini saa 7:00 kwa kuwa nilitoka mapema zaidi huko.
Kwa hiyo utafanyeje wakati wa kurudi? kuna jamaa yangu kaganda hapo jirani na Ubungo mataa, toka saa sita hadi muda huu hajatembea hata sentimeta moja
Toka HUKO kaa manzese ni pazuri sanaaa,
kuna upumbavu pale ubungo terminal inatumika njia moja tu.. wakati ya pili imefungwa bila kuwa na kazi
Acha uzembe wa kufikiri unazani wote wanawahi akuna aliejiajiri.