Foleni Dar es Salaam ni masaa 24, Makonda wake up

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
Foleni hadi sasa hivi nazungumza gari hazitembei kabisa. Makonda hebu kuwa mbunifu basi. Tunachelewesha maendeleo.

Haiwezekani tangu saa tatu kutoka Morogoro hadi saa 8 usiku huu bado tuko barabarani. Na gari hazitembei tu madereva wanalala.

Sioni sehemu za traffic jam lakini gari hazitembei. We are wasting time for nothing. Dhana ya hapa kazi tu inapotea kwa uzembe.

Wakati mwingine mkuu wa mkoa amka uone watu wanavyopata shida yaani. Sioni sababu ya foleni muda huu watu wanalala kwenye foleni.

Nilichogundua leo

1. Mkandarasi amebana barabara hasa sehemu walizojenga kingo kiasi kwamba malori wanaona watakwangua mizigo yao. Ilibidi waweke reserve road.

2. Hakuna rescue

3. Malori inabidi ifike wakati yatoke barabarani yatumie reli. Kwa speed hii yanatumia mafuta mengi na kuongeza gharama za bidhaa pasipo sababu.

Malori hatuna sababu nayo because reli ipo almost nchi nzima. Malori yaanzie Makambako, Shinyanga au kwenye station kubwa. Sasa hivi ni usumbufu tu

4. Madereva hawana ubunifu
 
Namba 3 yakitoka barabarani yatauwa uchumi kila sector ni muhimu ndugu
 
Back
Top Bottom