Foleni barabara Baruti-Msewe chuo kikuu

Manosa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
4,510
3,589
Mida hii kuna foleni kubwa kwa wale watumiaji wa njia ya kimara baruti-msewe kutokea chuo kikuu

Sababu ya foleni hazifamiki.
Epuka kutumia njia hiyo kwa sasa kama inawezekana
 
Back
Top Bottom