FOB & CIF ufafanuzi

Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,273
2,388
Wakuu hivi ukiagiza Gari kuna hizi costs!
Swali langu ni je CIF costs zina include FOB costs? Au CIF ni costs nitakazo lipa baada ya kulipia FOB?
Asanteni!
 
FOB ni freight on board, maana yake ni cost ya kununua item huko abroad
CIF ni Cost(FoB), Insurance na Freight maana yake ni gharama, bima na gharama za usafirishaji hadi inchi uliyopo
 
FOB-CIF.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Kig
FOB ni freight on board, maana yake ni cost ya kununua item huko abroad
CIF ni Cost(FoB), Insurance na Freight maana yake ni gharama, bima na gharama za usafirishaji hadi inchi uliyopo

Asante
 
Uko sawa ila nikusahihishe kidogo. Sio freight on board bali ni FREE ON BOARD.
 
FOB na CIF ni mikataba tofauti ya usafirishaji na ina gharama na terms tofauti ni suala lako kuchagua tu. Kwa FOB (Free on Board) wajibu wa muuzaji/mtumaji ni kuupeleka mzigo chomboni na kuhakikisha umesafiri then wajibu unaobaki unakuwa wa mnunuzi/muagizaji. Kwa CIF (Cost Insurance and Freight) muuzaji anakuwa na wajibu wa kulipia gharama za usafirishaji na kuhakikisha usalama wa mali (bima) mpaka mali inapomfikia mnunuzi.
 
Sawia kabisa mkuu. Ni vizuri kuagiza mzigo on cif basis as unakuwa salama zaidi.
 
FOB na CIF ni mikataba tofauti ya usafirishaji na ina gharama na terms tofauti ni suala lako kuchagua tu. Kwa FOB (Free on Board) wajibu wa muuzaji/mtumaji ni kuupeleka mzigo chomboni na kuhakikisha umesafiri then wajibu unaobaki unakuwa wa mnunuzi/muagizaji. Kwa CIF (Cost Insurance and Freight) muuzaji anakuwa na wajibu wa kulipia gharama za usafirishaji na kuhakikisha usalama wa mali (bima) mpaka mali inapomfikia mnunuzi.

Nmeelewa vema leo. Ahasanteni.wadau na ahasante JF
 
Back
Top Bottom