FNB, Mwalimu Commercial Bank mbona kimya

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,125
1,752
Habari wakuu kwema, zile nafasi za FNB ambazo deadline ilikuwa 28march bado hawajaita..? vipi kuhusu Mwalimu Commercial Bank au nawenyewe nikama zile nafasi za Mwanza Commercial Bank..?
 
Habari wakuu kwema, zile nafasi za FNB ambazo deadline ilikuwa 28march bado hawajaita..? vipi kuhusu Mwalimu Commercial Bank au nawenyewe nikama zile nafasi za Mwanza Commercial Bank..?
Kwani tulitangaza kazi?
 
Mtu anauliza swaliswali badala msaidie apate ufumbuzi badala yake kejeli,ndo mana huwa cpost wala kuuliza kitu jf watu wanadharau sana!
 
kuna mtu aliniambia fnb wameita tayari.sina uhakika lakini
 
Back
Top Bottom