englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Uji wa moto si utakuunguza mdau?Hawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.
Ila nimewahi sikia watu wakisema namna ya kumuuwa huyo nyoka ni kupika uji mwingi na mzito uchemke sana halafu uwe kwenye sufuria kubwa unabeba kichwani halafu unakwenda nalo maeneo ya miti anayoishi sasa akikuona ni lazima aje akugonge utosini akijaribu kichwa chake kinazama kwenye uji wa moto.
Ni nani mwenye huo ujasiri wa kubeba uji huo? manake hofu ni kwamba anaweza kukosea au kukwepa na kugonga sehemu nyingine katika mwiliHawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.
Ila nimewahi sikia watu wakisema namna ya kumuuwa huyo nyoka ni kupika uji mwingi na mzito uchemke sana halafu uwe kwenye sufuria kubwa unabeba kichwani halafu unakwenda nalo maeneo ya miti anayoishi sasa akikuona ni lazima aje akugonge utosini akijaribu kichwa chake kinazama kwenye uji wa moto.
Ni nani mwenye huo ujasiri wa kubeba uji huo? manake hofu ni kwamba anaweza kukosea au kukwepa na kugonga sehemu nyingine katika mwili
Hawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.