UKAWA. Kama ulivyoandika.!UKAWA?????
acha kuota wewe...au hivi vidaraja vya waenda kwa miguu kama hapo buguruni ndio mnaita fly overs ..?
Ngombale keshakutolea mahali, avatar yenyewe ya kike...utaolewa bure trust me.
swissme
Jaribu kutofautisha kati ya "h" na irabu,kuhunga hunga=kuunga unga,we mhaya eti?
Mbona ninashaka na takwimu za magari 8000-12000 kwa siku. Mbona mengi sana? Ni wazo tu.Gari 10000×3000= 30,000,000/=
Hapa Tz hatuongelei ya kenya..nyamazaSisi huku Kny tulishamaliza hiyo miaka ya 20000for now tunaplani treni ya ardhini
Kwa chadema ya Lowassa au ipi kamandaMaybe CHADEMA wachukue nchi hayo utayaona sio kwa CCM.
swissme
30,000,000/= x siku 30 ni around 1bn per month, ambayo ni 12bn kwa mwaka. wamejenga kwa 240bn/12bn means itachukua 20yrs kurecover cost.Gari 10000×3000= 30,000,000/=