Unajuwa sababu ya kuandika niliyoandika kuwa nimetaka kufanya booking Thursday wala Sunday hakuna sasa ingia katika site yao fanya booking siku hizo mbili halafu utaona majibu.
Nimesema labda zimejaa ndio maana lakini nimejaribu mpaka booking May to June inasema Thursday na Sunday not available. natumaini ni issue nyingine lakini ndio majibu napata. kila nikifanya Thursday inanipeleka Friday