Floyd Mayweather ,Manny Pacquaio,GGG ,Oscar De LA hoya na GGG kupanda ulingoni 2018.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,420
21,113
Hatimaye Floyd Money Mayweather akubali kurudi tena ulingoni 2018 kuzichapa na Gennady Gennadyevich Golovkin (GGG) ili kudhihirisha kwamba GGG si lolote so chochote mbele yake.

Kwa mujibu wa Floyd anadai kuwa GGG ni bondia ambaye mara nyingi ushindi wake huwa unabebwa na power za punches zake ila huwa anafanya makosa mengi sana awapo ulingoni .

Na kudhirisha hilo atapanda naye ulingoni 2018 kumfundisha adabu na kuwakata mdomo wale mahaters wote.


Screenshot_2017-11-27-18-13-56.jpg

Mbali na Floyd ,Manny Pacquaio pia ameanza maandalizi ya awali kumshawishi Conor McGregor ili wapande naye ulingoni 2018 .


Na mkongwe Oscar De la Hoya naye anataka kutoka mafichoni kuzichapa na Conor McGregor 2018.

Ila mpaka sasa haijajulikana Conor atamchagua yupi kati ya Manny Pacquaio au De la hoya.

Screenshot_2017-11-27-18-28-17.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom