Floyd Mayweather Car Collection

hivi haiwezekani kweli mtu akamfanyia taratibu francis cheka na kumhamishia marekani kisha kuwa manager wake na kupiga hela!?...watz mliopo huko hebu oneni fursa iyo!
wabongo kamwe hawawezi kufanya hivyo kwa kuwa tuna roho ya kwanini na chuki za ajabu.....hasa kwa watanzania wenzetu........na usiombe usaidiwe mbongo....itabidi umwabudu ili asiyaweke ma file yako hadharani......wabongo nuksi sana.....usiwaone wanakuchekea tu unavyopita na kigari chako..........
 
Even God isn't fair sometimes. Mtu hajaiba, mnamuona anafanya kazi nzito. We unafikiri kukwepa ngumi nzito za usoni ni kazi rahisi?? Jaribu na ww kujishughulisha sn, hta kama hautalipwa kma rate za ulaya, but you'll have something to show us kwa achievement za level ya kibongo bongo.


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Ni sawa kaonyesha uwezo wa hela aliyonayo, ila ki roho safi kabisa mie namuona limbukeni tu, migari yote hiyo ya nini, inamaana yeye kutwa nzima yuko barabarani? Si ajabu mtu km billget akawa navigari viwili na kidege cha safari za haraka, lakini kawekeza kwenye mambo yanayitoa ajira duniani, sasa unaweka picha ya migari miiiingi ili nini? Magari si utajiri, utajiri ni kutoa ajira kwa wenzako, km akina Dangote na Bakheresa.
 

utajiju
 

Mkuu bado unahangaika kumjibu huyu...ambaye amefikia kiwango kibaya cha kuidharau nchi yake..kiasi hiki....?.
Anadhani ni ujanja kuwashobokea wamarekani ilihali hata wamarekani wenyewe hawaonyeshi kushtuka....
 

Kweli mkuu hard work pay....waTanzania tuna asili ya uvivu huku tuna tamaa ya mafanikio...yaani kazi mpaka umsimamie...bila hivyo kazi haziendi....
Muda mwingi tunaupoteza kwenye mambo yasiyo na msingi hasa kwenye vijiwe vya kahawa...na mabishano ya mipira.....niliwahi kufanya kazi kwenye ofisi ya mchina mmoja
...yule mchina alitegesha kamera kwenye kona moja ya ofisi ya watanzania....kuna siku siku aliniita kwenda kuangalia upumbavu unaofanywa na waTanzania wenzangu maana nilikuwa mstari wa mbele kwenye kuwatetea wazawa kuhusiana na maslahi...dah sikuamini macho yangu....yaani kila muda humo ofisini ni zogo kama sokoni.....kazi hazifanyiki kabisa na wengine mpaka wanakulana mate humo humo ofisini...kusema ukweli niliona aibu sana......Watanzania bado tuna safari ndefu sana kuelekea kwenye nchi ya maziwa na matunda kama tusipobadilika na kujitoa na kufanya kazi kwa bidii...kila siku tutakuwa tunasifia mafanikio ya wenzetu...
 
Na net za kazini kazi Kweli kweli
 
Ngoja na mm nijitume nipate ht kabugati kamoja.
 
Only one of his showtime boxing match is more than enough to buy them all..
 
Floyd Mayweather -- $100,000 Rainstorm ... In Miami Strip Club

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…