Ooyooo haya majani yatakuwa ya matambuu ni kama yale wanayoyatafuna kama mbuzi na mdomo huwa Red na haya matambuu sana hutafuna jamii ya kihindi wa hapa hapa na kutoka pakistani na yakikolia muda mrifu basi sauti inabadilika hutoka puawani kama vile ni shoga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.