franckkimm
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 441
- 854
Wakuu,
Poleni Ni majukumu ya kila siku,
binafsi baada ya kuona Simba almost misimu mitatu hatufanyi vizuri kwenye USAJILI/SCOUTING tofauti na hata watani zetu (Yanga).
Nimetafakari Sana juu ya hili; mfano tu mrahisi, ukiangalia kikosi Cha Simba kina mapungufu kwenye maeneo Kama kiungo mkabaji,beki wa kushoto (back up ya zimbwe) n.k
Mapungufu Ni mengi siwezi kuelezea yote nyie kama wadau wa mpira hasa mashabiki wa Simba mnatambua. KIUFUPI Simba haikufanya scouting nzuri at all, kwa usajilii woteee wa msimu huu Ni Che Malone TU ndio tunaweza kusema yupo vzr wengine Ni ingia toka, ni kama kikosi Ni Kile Kile TU.
KWANINI IBENGE?
1. Ni kocha Mwenye experience ya mpira wa africa, hii haitaji maelezo
2. ANAIJUA SIMBA, ata akiwa kocha ni rahisi Sana kujua wapi Kuna shida na kupafanyia kazi
3. Ni kocha wa mbinu hasa kwenye mechi za kimataifa anajua namna ya kupanga kikosi, Pia hata kwa mashabiki wa Simba sioni Kama kutakuwa na ile 'fans pressure" tofauti na makocha wa nje
4. Atatusaidia Sana kwenye Usajili since anajua wachezaji (hasa wa CONGO) ambaye akimleta, obviously ataleta impact moja kwa moja kwenye timu.
huyu Ni aina ya kocha anaweza hitaji wachezaji watano TU Alafu ndio utajua hujui!!!....Kama unabishaa waulize utopolo alichowafanya(jokes)
CHANGAMOTO
1. Mshahara wake Simba inaweza kumlipa?
2. Bajeti na aina ya wachezaji anaowahitaji Ni kubwa Simba tutaweza????
USHAURI
Kuliko kupoteza mihela kusajili wachezaji weengiiii ambao Ni wa kawaida tuuu.....mwambieni BOSS MO amwage pesa, Leta ibenge floreee na wachezaji 3/4 tu wa maaana Alafu tukutane uwanjani
Nawasilisha!