tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Florence Samizi, ambaye anatetea kiti chake amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita Jimbo la Muhambwe lilipokea zaidi ya Bilioni 50 ambazo zimejenga miundo mbinu mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya hivyo kuboresha huduma za afya na kupunguza vifo vya akina mama wajawazito, Watoto na wazee ambao wangeweza kufariki kwa kukosa huduma bora za afya.
Soma pia: Mbunge Samizi asimama bungeni kuuliza swali kupambania ujenzi wa stendi ya kisasa Muhambwe
Soma pia: Mbunge Samizi asimama bungeni kuuliza swali kupambania ujenzi wa stendi ya kisasa Muhambwe