Habari wana JF.. Me swali langu dogo ni kwamba kuna sababu gani za msingi kwa huyu mmama mwimbaji wa Nyimbo za Injili na mume wake kulindwa kiasi hiki??? Sijaona logic yake kwa uelewa wangu.. Pengine mnaweza kuwa na maoni tofauti na mimi na I can learn something through your Quotes. Welcome Wadau!!!!
I present..!!!!!
Ni suala la kujali usalama ktk uinjilist kupitia uimbaji ktk nchi ambayo hali ya usalama haitabiriki
Walinzi wake?
Huoni hapo ni DRC?[/QU
Kama ni DRC kweli she has to protect herself, huko hakufai
using too much of your energy (save it)..!!! that's why I said nionavyo mimi and if i'm mistaken correct me from wrong.. stay calm....!!! hatugombani mkuuUmbea UNAKUSUMBUA, they didnt ask for it, but the goverment thought there is a need, that means the country isnt safe, wewe ni nani KUSEMA huoni sababu?
well said mkuuHawa jamaa kwa utapeli na uhuni hawana mfano. Wanajua kuwa wabongo wanashabikia mambo ya Marekani ya supastaa na mabaunsa. Hivyo wanawaibia akina Mbasha kwa sababu wanapenda kuiga iga mambo ya Marekani. Nimependa term Deteriorated Republic of Criminals. Acha niongeze DRC ni Dead Ragtag Criminals. Hata hivyo tusiwacheke wakongomani kwa hata sisi wasanii wetu wanatupeleka kule kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda Jamhuri ya Migongano ya Tanzia au tuseme Jumuia ya Mafisadi wa Tanzania.
yes ila inaonekana she hired them.
Walinzi wake?
Huoni hapo ni DRC?[/QU
Kama ni DRC kweli she has to protect herself, huko hakufai
Why....?