Flora Mbasha na sherehe za muungano

Flora Mbasha na sherehe za muungano

Mumwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
592
Reaction score
122
Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.
 
Kwani waliomuinua ktk siasa walikuwa wapi?
A comfort girl!
 
Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.

Dokiii naye alikuwepo!!
 
Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.

Msanii Dokii pia alikuwepo kwenye jukwaa nafikiri walikuwa na mwaliko
 
Hivi Rose mhando,upendo nkone na waimbaji wengine pia wa injili walikuepo?kama jibu hapana basi ndio hapo utajua huyu dada anaimba kwa minaajili hani na utaelewa si wote wanaoimba kumsifu Mungu wanamsifu kweli bado wako kibiashara zaidi.
 
Huo ni ukweli Flora tunamjua sana, yuko kibiashara zaidi. Wala siyo mwimbaji mzuri ila alibebwa tu na watu flani maarufu. Huoni anavyojikaza wakati wa kuimba? Anajaribu kuiga sauti za makoma lakini huwa anachemka sana. Ila kwa kuwa Watz hatujui waimbaji wazuri na wenye huduma huwa tunafurahia zaidi makelele na a kuruka kwingi. Poleni wana Gospel wenzetu maana Huduma au uimbaji uliamiwa kitambo na kuwa fani na usanii. Huoni hata Kidumu katoka na Gospel nzuri tu?
 
Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.
Hizi ni nymba za watawala
 
Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.

hta mm mgen hapo kaka
 
Chakula Cha Mwanasiasa Hicho,ndo Maana Kakimbilia Gest Akasuguliwe Kisawasawa
 
mumewe kagonga mdogo wa flora! du sasa naona bi dada anakuwa mjane make akitiwa hatian ni 30 years!
 
Post hii ni ya toka mwaka 2011 kumbe Frola kaanza mambo ya kijinga muda mrefu nimegundua kitu cha tofauti kwa kweli
 
Back
Top Bottom